Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kabeeeeeeeeesa huyo mbona wakoo kitambo sanaaaa ! RellaaaxxxxxxHahahaha unauhakika nitashinda😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabeeeeeeeeesa huyo mbona wakoo kitambo sanaaaa ! RellaaaxxxxxxHahahaha unauhakika nitashinda😁
Hahahhaha ngoja tuoneKabeeeeeeeeesa huyo mbona wakoo kitambo sanaaaa ! Rellaaaxxxxxx
Wewe mtoto jamaa aliyeoa anafaidi sana hela unazo, kazi nzuri unayo, huwazi vicoba, uzuri na mshape ndo usiseme. Haya maisha haya hata mbinguni naamini kutakuwa na magap tuSelfika na Smart
Enjoy your weekend wapendwa
Kila la kheri Yangaaa 💚💚💛💛🖤🖤💪💪💪💪💪💪
Naenda kutolewa posa na Carasco Putin ccy😂😂😂😂😂😂Weee sema kweliiiiiiii??? Unaenda kusamilia ukwenii nini 😁😁😁😁???
Naandamana walai sijazoea kukuona ndani ya sketi sis do the needful nione ivokukaa
Tutafurahi sana kukuona Mjukuu....Miss you more granpa mwambie bibi mie na mkweo tunajiandaa kuja kuwasabahiii kitambo sana tumewamisi pia
Wewe mtoto jamaa aliyeoa anafaidi sana hela unazo, kazi nzuri unayo, huwazi vicoba, uzuri na mshape ndo usiseme. Haya maisha haya hata mbinguni naamini kutakuwa na magap tu
Putin kama Putin.. mmetishaaaaNaenda kutolewa posa na Carasco Putin ccy😂😂😂😂😂😂
Ngoja nikuonyeshe
Jamaa anakojolea pazuri jamani. Yani baibui inakuwa kama skin jeans😂😂😂Hizi sifa zote Zangu???? Sema kweli walai Mungu anakuona ujue 😁😁😁!!
Santo sanaaaaa
Hata kama unanikejeli mi staki juaaaaa asantreeeeeeee😁😁😁😁!Jamaa anakojolea pazuri jamani. Yani baibui inakuwa kama skin jeans😂😂😂
Hata kama ni camera ila ukweli haujifichi. Hivi usumbufu si mwingi sana? 😂😂😂Hata kama unanikejeli mi staki juaaaaa asantreeeeeeee😁😁😁😁!
Kamera tu walaiii
Kabisa mkuu.Hata kama ni camera ila ukweli haujifichi. Hivi usumbufu si mwingi sana? 😂😂😂
Saivi upo hivyo, inaonyesha ulivyokuwa Binti ulipiganisha Kijiji 😁😁😁😁😁Hata kama unanikejeli mi staki juaaaaa asantreeeeeeee😁😁😁😁!
Kamera tu walaiii
Usumbufu wapiiiii nimeshoia tu hapa Sina hata wa kuntongoza niondoe hii nuksi Walai!Hata kama ni camera ila ukweli haujifichi. Hivi usumbufu si mwingi sana? 😂😂😂
Inasemekana na wewe kwenye shep sio haba😉