Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Weee tupia yako kwanza naye atatupia yakee😁Labda nitupie picha ya min akee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee tupia yako kwanza naye atatupia yakee😁Labda nitupie picha ya min akee
MimiWw,😅
Au twende kule🤣🤣Mimi
😁😁soul mate tena
Yangu situpii mnanicheka sanaaa😂Weee tupia yako kwanza naye atatupia yakee😁
Wapi embu nipelekeAu twende kule🤣🤣
Naunga mkono hoja
Hakuna wa kukucheka banaaa wee tupiaaaa tu!Yangu situpii mnanicheka sanaaa😂
Kule tulipotoka...naona hapa Kuna mkanyagano🤣🤣Wapi embu nipeleke
Ziba uso Linda privacy mwanetuYangu situpii mnanicheka sanaaa😂
Naunga mkono hoja ikitokea mtu akacheka naenda nae Sako kwa bakoHakuna wa kukucheka banaaa wee tupiaaaa tu!
Subiri niamke kwanza nivae bana tumbo nijitupieHakuna wa kukucheka banaaa wee tupiaaaa tu!
Haya twende 🤣Kule tulipotoka...naona hapa Kuna mkanyagano🤣🤣
Watamkanyaga mume wangu🤣🤣
Nipo maweni Leo hapa kigamboni Kuna baridi sana 😎😎😎Subiri niamke kwanza nivae bana tumbo nijitupie
Ziba uso Linda privacy mwanetu
Oops nshatuma hapa🤣🤣Haya twende 🤣
Nawe utupie sasa muutendee haki uzi!Naunga mkono hoja
Nilisahau kuziba usoo...dah😅😅😅Mimi
Privacy mwanetu au unataka wakuite dada bonge 😎Uso wangu ni mzuri kwanini niuzibe🙄