Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku hizi una misamiati migumu Mjukuu hadi Babu yenu inanishinda ๐Ÿค—
Tatizo babu mwenzako nilizaliwa na mama kijana, naye alizaliwa na mama yake kijana toto la kinyamwezi.. ndio huyo bibi yangu kaniharibu na mineno yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kuna siku simu yake inaita nikamwambia bibi pokea simu au nikupokelee akanijibu, We mtoto koma,โ€Huyo mshefa wangu alikuwa footballerโ€ ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Basi na mi nikakumbuka nikakuita hivyo kina bibi wakuje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endeleaa na kazii uduguuu, mie nalala mapema leo.
Uduguu em njoo unishauri kwanza, ukifika nishtue yani nimevurugika.. sijui ndio nimetupiwa jini hii sio kawaida kabisaa.!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Uduguu em njoo unishauri kwanza, ukifika nishtue yani nimevurugika.. sijui ndio nimetupiwa jini hii sio kawaida kabisaa.!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Imekuajeeeee? Wee uduguuu nambiee, nishafikaaa hapaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom