Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shem namuelewa wee mwache anicheke tu. Iko siku nitambamba Kariakoo kwenye duka lake. Wakinga habari nyingine. Kuna wakinga watatu, nawafahamu yaani wanashindana kuporomosha mahotel na ukumbi kwa mpigo.
Usimsikilize huyo anataka usiniwezeshe aendelee kunicheka 🀣🀣🀣
 
Eti fundi, wanaume wanaendesha magari mengi sana. So akiona tu anajua hili ni lipi. Mimi bila kulisoma natoka kapa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Huyo namjua fika dalali sijui ufundi kaanza lini?? 🀣🀣🀣
Huyo dalali wa viwanja bana asimtishe shem ashindwe kutupia ndinga lingine bure. 😹
 
Huyo namjua fika dalali sijui ufundi kaanza lini?? 🀣🀣🀣
Huyo dalali wa viwanja bana asimtishe shem ashindwe kutupia ndinga lingine bure. 😹
Mwache shem wangu, acha kumbandika udalali mara fundi. Shem ndiyo anaongea ukweli. Babw nitamshawishi, atupie nyingine faster afute. Napita naked tuko wawili tu 😝😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom