Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aulizwe huyo mpuuzi lamomyDuh!!
Dada habari za leo?
Huyo hapana ana roho ngumu sana itakuwa ni wale wanawake hata ng'ombe ana chinja...Aulizwe huyo mpuuzi lamomy
Hahaha wewe na BL mnatofauti gani??Mzigo wa bl unajaa na kumwagika hapo wwe
🙌🙌Naweza enda nayo kesho NMB mkuu ombea mkopo
🙄🙄Hahaha wewe na BL mnatofauti gani??
Kwa kweli ninalo la kuwasimulia. Si mchezo, watu mmetulia kimya kumbe vifaa haswa. Hongera kipenzi. Sijui hawa cheka tu wamepotelea wapi. Lamomy Saint Anne mnapitwa na vitu vizuri huku ohoooHaya utamsimulia lamomy na rafiki yake Saint vitoto ving'ang'anizi balaa
Mamaahh 😍😍😍Litakalonipata lawama kwako Lamomy
Walioniquote bado inaonekana 😢😢Kwa kweli ninalo la kuwasimulia. Si mchezo, watu mmetulia kimya kumbe vifaa haswa. Hongera kipenzi. Sijui hawa cheka tu wamepotelea wapi. Lamomy Saint Anne mnapitwa na vitu vizuri huku ohooo
Ni Mali na nusu mkuu
Kubwa la maadui wewe tena!! Team fisi majiMamaahh 😍😍😍
Chuma hiki hapa sasa.!!
Mtoto potabo juu mdogo chini sasa wohiiii lawama tupu 😘
Mpk nimesisimka, sijui kina mshamba wana hali gani.!! 😂😂
The Monk balaa umeliona huku.??
JF kuna visu hiki chenyewe kinakata unahonga mpk ada za watoto aisee.!!
Monk hao watoto wakasome gavaa elimu ni elimu tyuu.!!! Kikubwa kuishi na kapeace kwanza 😹😹😹
Ndiyo maana niliandika comment kitofauti, kupisha kuquote. Nilijua itabaki. Ingekuwa watu wote hatuquote picha. Mbona tungekuwa tunaselfika sana humu.Walioniquote bado inaonekana 😢😢
Nimeona nilienda kukojoa na kuzima taa kwanza 😂😂😂Kwa kweli ninalo la kuwasimulia. Si mchezo, watu mmetulia kimya kumbe vifaa haswa. Hongera kipenzi. Sijui hawa cheka tu wamepotelea wapi. Lamomy Saint Anne mnapitwa na vitu vizuri huku ohooo