Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hadi Chocho za kuripoti picha kanazijua๐๐๐๐Wewe tena kizee cha kuripoti ๐น๐น๐น
Unazijua mbinu zote za kuripoti mpk pic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi Chocho za kuripoti picha kanazijua๐๐๐๐Wewe tena kizee cha kuripoti ๐น๐น๐น
Unazijua mbinu zote za kuripoti mpk pic
Hamna sio kihivyoo ๐Mzee wa papuchi huna baya
Amin amin, waooohKwa mamlaka niliyo pewa kutoka kusini mwa jf nakuambia pumzika ulale unono Mimi kijana kutoka kigamboni nakutakia usiku mwema na nitakusomea Dua kwa mungu akukinge na wachawi wenye husda inshallah ๐
Nimepitwa aisee irudiweMlale sasa
Unalala sana mpk Unapitwa na vitu vikali mzee wa tandam ๐๐๐Kuna maandamano ila kuna Kapeace alafu kuna Bantu Lady
Ebhanaeeeee ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
We hata mbinguni utapitwaaaNimepitwa aisee irudiwe
๐๐คฃZulu man msaada uedit, picha ifutike.
Alafu kuna Lamomy cheupe dawa a.k.a divaaaaaaaaa ๐๐ฅ๐ฅ๐ฅUnalala sana mpk Unapitwa na vitu vikali mzee wa tandam ๐๐๐
Kesho tujiandae na pic za shangazi ninavyomjua lazima apanic ๐๐๐Kumbe nikifungua Kwa
Aliyekuquote naona
Mnazidi kupika tu rekodi za watu๐๐ฟ๐๐ฟ๐ฅ๐ฅ
Dada mzuri uwiii
Hadi simu imepata nurโฅ๏ธ๐๐๐
Aisee
Huyu Mungu
Nyie ndio mtakuwa wale wa udongo wa VIP hatari๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Nisamehe kapeaceUna roho mbaya sana kuliko mwandiko wako
Report tu inafutika tajiri usiogope bodigadi nipo hapaOdo ake kipenzi, naomba uedit ifutike picha ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Leo hata usingizi utakuwa mzuriWote tuseme Amen ๐
Haya mabinti sayuni tukalale tuwaachie lindo waebrania ๐น
Umefanya nikuone malaika wa zamu, sawasawa mkaka mzuri mzuriNisamehe kapeace
Let me find my quote...
Unajua ni vibaya kuwa udhi nyinyi warembo
Mi mwenyewe niko mpwapwa mkuu ๐น๐นUmejuaje...
Mimi huku uchindile mtandao unazingua kinoma
Picha zinakuja na kiza kiza...
Huko mjini kwema??
Shangazi hajare Wala niniKesho tujiandae na pic za shangazi ninavyomjua lazima apanic ๐๐๐
Nkamu kilabho โ
kabisaKazi sana
Mi zangu mniwekee pm huu uzi sio mkaaji, au ulidhani nitakuacha hivi hivi๐คฃ๐คฃKesho tujiandae na pic za shangazi ninavyomjua lazima apanic ๐๐๐
Nkamu kilabho โ
๐๐๐ mahi tulale kesho.!Wameisave watapeana huko mafichoni hiyo sio shida yangu, ila kwenye huu uzi itoke, halafu sasa mtu ajichanganye aje aitume kwingine atajua hajui