Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Siku ataibuka na snake xenzia 😂😂😂Sijui atakujaje
Asiwe tu vichakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ataibuka na snake xenzia 😂😂😂Sijui atakujaje
Asiwe tu vichakani
kwanini?Kuna terminology unatumia kijana 🙌
Mama junia hata kuniita jamniKapeace ni kisu hatari🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kaja kusambaratisha top three ya zamani🔥🔥🔥🔥
Babeki
Namba Moja na mbili zote wamezikamata🔥🔥🔥
Yesu wangu sijui itakuwajeSiku ataibuka na snake xenzia 😂😂😂
Ningewapelekea moto huku naclap hips hizo 😂😂😂Hao waache yani wametujaza na BL na sie tukajazika🤣🤣wangekuwa wanaume wasingekuwa wanakataliwa vinajua kushawishi
Sikumbuki hata nili quote wapi? Tag me niifute.Sumbai unafeli au upo unasinzia, Vincenzo Jr mbona nimereport tangu muda ule bado tu😢😢
Mpwapwa makao makuuMi mwenyewe niko mpwapwa mkuu 😹😹
Zangu zipi hizo 😎 😎Weeh kambea ulinde privacy za nani ikiwa zako umeshindwa kuzilinda 😹
Na wanachepuka kufata nyama karibu na mfupa, hao pipo wanashibaga sasaNingewapelekea moto huku naclap hips hizo 😂😂😂
Ila wanaume wanafaidi aisee.!!
Mizigo km hiyo wanaibonyeza wanavyotaka 😹
Hapo kesho atatafuta loc na kwenda saloon, hiyo ngoma keshokutwa ndio anarudi kwa revenge sasa, tintihiii mwamba huyu hapa 😹😹😹Yesu wangu sijui itakuwaje
Ngoja kesho tuone comeback yake
Ukimpa iphone itapendeza,angalau michuano iwe na standard pande zote.
Polee sana nduguHao waache yani wametujaza na BL na sie tukajazika🤣🤣wangekuwa wanaume wasingekuwa wanakataliwa vinajua kushawishi
Junia ana Auntie Kisu😍🔥🔥Mama junia hata kuniita jamni
We nichachue tuu 😄Wewe nichane najua unaogopa ntakuchachua 😂😂😂
Mm sijaona pia jmn nimenunaMwambie aweke picha basi macho ya Chino yafurahi
Kwenye hiyo comment niliyokunukuu 🤣🤣🤣unajua unanikasirisha lkn nacheka tuSikumbuki hata nili quote wapi? Tag me niifute.
Kindly sorry mrembo wetu
Mpwapwa makao makuu
Pole kwani ulifumba macho wakati unaiangalia hiyo picha?Polee sana ndugu
BoraHapo kesho atatafuta loc na kwenda saloon, hiyo ngoma keshokutwa ndio anarudi kwa revenge sasa, tintihiii mwamba huyu hapa 😹😹😹