and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Ni katika upande mmoja tu wa mizagamuo.Wewe wasema wenzio huku mtaani wanarudishwa utotoni na kina Gen z
Kwani ilikuaje Diamond akazaa na Zari, ambae ni single mother mwenye watoto?
Kwani Diamond hakuweza kutafuta hao Gen Z?
Harmonize ilikuaje akadata na single mother mshangazi hadi anamtungia nyimbo na kuhonga magari? Unafikiri alikosa hao Gen Z...
Kikubwa jitunze na ujikubali...
Unaweza kuwa na 30's na mtu akakuelewa mkafanya maisha .. achana na story za jf zisizo na uhalisia , kwenye ground mambo ni tofauti, jitunze na ujiamini. Kwenye suala la kujitunza ndipo kipengele...
Duh! Mbona nimegeuka kuwa motivesheno spika tena...?