Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Shukrani sana kwa mwongozo dear!Watakudanganya yani hapo kupoa kwa mbirizi sio rahisi, kuna majani yanaitwa mgango yanatibu hiyo kitu ila iwe kwenye hatua za awali kabisa, mpeleke watamuandikia hata sindano ikibidi