Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unataka pension yako uivute mapema tu.

Niliposemea Mimi advance huko mbeya mtoto wa kike kama wewe ili uwe safe lazima uwe na mtu Yani unatongozwa kibabe utake ukubali lazima uchukuliwe.

Shule za serikali za zamani haha zilikua zinaendeshwa kitemi sana (Mimi mwenyewe niliokotaga dodo pitia huu mpango)
Kwa mazingira hayo ningejiweka kwa mwalimu, mi ni mtata kiaina ile wote kuvaa uniform kwangu tu inapoteza nafasi ya kukuheshimu🤣🤣,
 
Weee mie na vijana wapi na wapi????


Weee six pack hailipi billss weeeh!!

Wazee ndo wazuriii wanajielewa afu wanajua kutunzaaaaa yaniii waelewa mnooooo!

Unaenda nae aste asteeee asije fia kwenye kinenaaa!

Ukutane na mzee wa kileo sasa utafurahi naroho yakoooo😁😁😁🤭!

Sema nishaachana na hekaheka za ujana nimekituliza sasa!
Wazee mbona wanaijua kazi! Hao wa kufia kwenye kinena wana tabu zao tangu wakiwa vijana
 
Back
Top Bottom