Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Umeongea ki ukubwa mnooo...Kweli wanawake sie ni maua, kila moja linavutia kivyake ukiona hili utataka ulichume
Malalamiko hayawezi kuisha halafu wanawake tunabadilika kutokana na mazingira, kwwnye stress tunachuchuka vibaya mno, mfano ni enzi zile zari kapigwa tukio na dai, halafu mtizame saiv karudi kuwa msupu
Huwa tunapauka tukiwa na mimba changa balaa...😃😃😃😃unaweza jikataa