Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli wanawake sie ni maua, kila moja linavutia kivyake ukiona hili utataka ulichume
Malalamiko hayawezi kuisha halafu wanawake tunabadilika kutokana na mazingira, kwwnye stress tunachuchuka vibaya mno, mfano ni enzi zile zari kapigwa tukio na dai, halafu mtizame saiv karudi kuwa msupu
Umeongea ki ukubwa mnooo...
Huwa tunapauka tukiwa na mimba changa balaa...😃😃😃😃unaweza jikataa
 
Mjukuu mm na uzee huu 😂😂

Ndio ujue mie Mzee XXXL, Sasa vipi kufungua darasa la mapishi?

Screenshot_2024-09-24-18-20-36-93_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg
 
Back
Top Bottom