Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Sio utoto brother ni sababu za kiusalama tuSasa hizi ndio raha za utoto wa kwenye huu uzi Mkuu
View attachment 3105668
View attachment 3105670View attachment 3105688
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio utoto brother ni sababu za kiusalama tuSasa hizi ndio raha za utoto wa kwenye huu uzi Mkuu
View attachment 3105668
View attachment 3105670View attachment 3105688
Humu kuna vitoto vidogo mnoo...😃😃Mwachi bado chalii duh, uwe unatusalimia shangazi zako
Mimi nawashinda wote napika ugali, maharage, njegere ndizi, kuku, samaki, tambi nkHongera sana wali huwa unawashinda sana men
amna ukipiga picha unaonekana tofaut si unaona kama hiyo nimepiga nikiwa raf tu kuna picha ukiona unakataa.kabisa.sio mmKumbe ile picha siyo wewe mwenye beard muone. Kwanini ulidanganya watu. Kichwa kama Iringa 😂😂😂😂😂
Ahahahah ni vzr sana...Mimi nawashinda wote napika ugali, maharage, njegere ndizi, kuku, samaki, tambi nk
Mwanangu kama unajua kurap tuweke freestyle hapa 9 bars au unasemaje?We ni mtata sana mnywani
Uko kama mpalestina hata upigwe missile za namna gani
Zako ni takbirrr unasonga mbele
Kasema wengine hawazeeki eti😅Humu kuna vitoto vidogo mnoo...😃😃
Hahaha vile vitoto ni nuksiWanaweza vibayaaa mnoo...
Yani wanakuwekea na vi maua maua kwny mtongozo wao...lazima uingie line si unaona mm mchana nikalainika kabisa..
Hebu nipe freestyle hapo 9 barsWe ni mtata sana mnywani
Uko kama mpalestina hata upigwe missile za namna gani
Zako ni takbirrr unasonga mbele
Nimeona lile guu lainiEe bana at least Bantu Lady katupa mshepu wa hatari hapa...
Starring hauawi mnywanii! ! Weeee ana uawaje yaniii?? Hata waungane maadui maelfuuuuuuu🕺 hahaha 🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒😁😁😁!We ni mtata sana mnywani
Uko kama mpalestina hata upigwe missile za namna gani
Zako ni takbirrr unasonga mbele
Mnoo...Nimeona lile guu laini
Ukiswampa tu imetoka. Kwa mara ya mwisho... cocasticDear BL niko hapaa nasubiriii!!
Budluck sio muumini sana wa nyimbo za kidunia mkuuMwanangu kama unajua kurap tuweke freestyle hapa 9 bars au unasemaje?
Sio utoto brother ni sababu za kiusalama tu
Usi space andika jamiiiforumsVincenzo Jr nimeget started ikanipeleka hapo sikuona Jf nikasearch ikanipeleka huko hapo naona mashikolo mageni tu mwongozo pulllllllliiiiiiiiizzzzz