Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Forever and always mnywanii!!!

Nakujaaa unifunze hio surat mnywanii kuna viumbe vilitaka kunidhuruuu ila vilinikuta sidhuriki ndio nikamuuliza Arsis mnywanii!

Natamani siku nivikamate ila ndoiivooo mi sio wa Mungu sana sio wa mgangaaaa basi imani yangu inahang hang tu πŸ˜‚!!
Wiki hii tunakula keki ya upako kwa bulldozer.

Karibu umalize kesi zako zote mnywani
 
Wiki hii tunakula keki ya upako kwa bulldozer.

Karibu umalize kesi zako zote mnywani
Santo sana mnywanii Kesi Zangu zote anamaliza aliye juu!

Duniani Kuna viumbe vya ajabu sijawahi ona!!

Nilimuuluza arsis ili niongeze maarifa ya kufahamu viumbe vingine mnywanii Hakuna zaidi ya Allah!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚l
Auntie katisha sana, ningeshangaa auntie akubali kuweka silaha chini kirahisi aah subutuuu.!!
Labda sio aunt ninayemjua, shangazi Hana mpinzani bado anatetea ubingwa wake wa selfika 😹😹😹😹

Auntie tupe nyingine tuwapige 7 🀣
Hadi sasa shangazi 3_wengine 0

Kwa ninavyomjua shangazi
Nilijua tu anaandaa kitu konki🀣🀣🀣🀣haya
Twende Kazi shangaziπŸ₯°πŸ”₯
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nilitaka kushangaa na mimi
Mkemia Mkuu haachii namba kirahisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hapa ndio kwanza anaanza
 
Hadi sasa shangazi 3_wengine 0

Kwa ninavyomjua shangazi
Nilijua tu anaandaa kitu konki🀣🀣🀣🀣haya
Twende Kazi shangaziπŸ₯°πŸ”₯
Shangazi anapambania ubingwa wake 😹😹😹
Ila shangazi kawaka uongo mbaya πŸ˜‚
Comeback yake nimeikubali, hataki kupoteza mchezo analala nao sako kwa bako.!
 
Nilitaka kushangaa na mimi
Mkemia Mkuu haachii namba kirahisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hapa ndio kwanza anaanza
Weeeh mkemia hajawahi kushindwa kajua kubalance pambano.! πŸ˜‚πŸ˜‚

Halafu simu kabadilisha mana pic imewaka mpk nikajua Nick Minaj kumbe shangazi 😹😹😹
 
Niko kwenye foreni ya kugombania mwendokasi msimbazi.( Leo uhakika acha nifike home)

Au nitoke nje ya kituo uje unipe lift.
Lift hata gari ninalo basi 🀣🀣
Wewe njoo hapa Aggrey ukifika uniambie nitoke twende gerezani tukadandie gari za bonyokwa 😹
 
Santo sana mnywanii Kesi Zangu zote anamaliza aliye juu!

Duniani Kuna viumbe vya ajabu sijawahi ona!!

Nilimuuluza arsis ili niongeze maarifa ya kufahamu viumbe vingine mnywanii Hakuna zaidi ya Allah!
Ohoo ok!!
Endelea kujifunza
Story yake Ina vitu vingi sana vya jicho la tatu.
 
Itakuwa keshaapta macho matatu Auntie yetu
Siyo wa level za Tecno huyo
Nkamu kumbe auntie anatuendea kwa bulldozer tuangamie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Auntie itakuwa kapata macho matatu kawaka sana, atupe ya chini sasa tuone mshepu.! 😜
 
Lift hata gari ninalo basi 🀣🀣
Wewe njoo hapa Aggrey ukifika uniambie nitoke twende gerezani tukadandie gari za bonyokwa 😹
Ongea na oddo wako aje aniletee chombo, hana baya yule

Leo nimeyatimba nikijaga kko nawahi sana kuondoka. Leo nimejichanganya

Aisee nini acha nirudi mkoa
 
Ongea na oddo wako aje aniletee chombo, hana baya yule

Leo nimeyatimba nikijaga kko nawahi sana kuondoka. Leo nimejichanganya

Aisee nini acha nirudi mkoa
Odo akupe gari moja anayo mengi kapaki hayatumii.!

Kkoo unafanya nini na joto lote hili?
Njoo nikupe kijora umpelekee mama 🀣🀣🀣

Nakutumia location sawa?! 😜
 
Back
Top Bottom