Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hee!
Tuangamie tena?😂
Nani atamsifia sasa?

Hiyo lazima tu atatupia wee
Anaachaje kutupia wakati SI unit ya pambano ipo kwenye mshepu😂
Eti jamani Nkamu sisi team yake akituangamiza nani atamsapoti na kumshangilia 🤣🤣🤣

Mshepu muhimu ndio unabeba ushindi wa jumla jumla, naona kashtua kidogo kabla hajatupia hiroshima 😹😹😹
 
Eti jamani Nkamu sisi team yake akituangamiza nani atamsapoti na kumshangilia 🤣🤣🤣

Mshepu muhimu ndio unabeba ushindi wa jumla jumla, naona kashtua kidogo kabla hajatupia hiroshima 😹😹😹
Kwa Bulldozer sisi tunapokea tu mibaraka aisee
Ajue tu sisi tupo sana na tunatamba naye😂
 
Hajawahi kushindwa
Shangazi ni mmoja tu wa kimataifa

Hii ndio ile comeback ya kibabe sasa tuliyokuwa tunasubiri🔥🔥
Shangazi hizi battle kwake km kumsukuma Mlevi mbona 😂😂😂
Hapo chap tunabeba kombe letu shem sele anatufata na ndinga lake awwwhee 😹😹

Wewe mpenda magari ukae mbele na kombe la ushindi, mi ntakuwa nampepea auntie kwa ushindi wa kishindo 😹😹
 
Shangazi atakubali kukaa nyuma sasa?
Au atamkalia sele wapakatiane

Mimi na siti ya mbele damudamu.

Ila hadi sasa shangazi bado ni bingwa mtetezi kama Mancity ilivyoing'ang'ania EPL
 
Mtoto maku sana yule kidogo tu anaomba picha za dusherere.

Vibomu sasa maninah zake sana
😂😂😂 kumbe ulituma dushe ngoja nimwambie anitumie wote mliotuma niwachabo 😹😹

Ini kweli kichaa yani anawaomba dushe wanaume wenzie khaaa.!! 🤣🤣🤣
 
Shangazi atakubali kukaa nyuma sasa?
Au atamkalia sele wapakatiane

Mimi na siti ya mbele damudamu.

Ila hadi sasa shangazi bado ni bingwa mtetezi kama Mancity ilivyoing'ang'ania EPL
Shangazi akikaa mbele atamfanya sele ashindwe kuingiza gia hips kubwa 🤣🤣🤣

Yeye akae nyuma huku niwe nampepea..!
Hivi shem anasukuma ndinga gani? Isijekuwa Lc 300 😜
 
😂😂😂😂😂
Hivi akina Bantu wako wapi tuendelee na second round?
Sijui na wenyewe wamepotelea wapi?!
Au comeback ya shangazi imewaogopesha 🤣🤣🤣

Itakuwa nao wanajipanga wanapiga tiz kwanza.! Tuendelee kuwasubiri mi nipo mwingi leo washindwe wao tyuu.!!
 
Shangazi akikaa mbele atamfanya sele ashindwe kuingiza gia hips kubwa 🤣🤣🤣

Yeye akae nyuma huku niwe nampepea..!
Hivi shem anasukuma ndinga gani? Isijekuwa Lc 300 😜
Ngoja tukaulize kacoca
 
Sijui na wenyewe wamepotelea wapi?!
Au comeback ya shangazi imewaogopesha 🤣🤣🤣

Itakuwa nao wanajipanga wanapiga tiz kwanza.! Tuendelee kuwasubiri mi nipo mwingi leo washindwe wao tyuu.!!
Hivi Bantu ana haja ya Tiz kweli!?
Asituangushe

Tunasubiri picha
Comedian wake tumefika🔥
Bantu Lady
 
Back
Top Bottom