Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Eti jamani Nkamu sisi team yake akituangamiza nani atamsapoti na kumshangilia 🤣🤣🤣Hee!
Tuangamie tena?😂
Nani atamsifia sasa?
Hiyo lazima tu atatupia wee
Anaachaje kutupia wakati SI unit ya pambano ipo kwenye mshepu😂
Mshepu muhimu ndio unabeba ushindi wa jumla jumla, naona kashtua kidogo kabla hajatupia hiroshima 😹😹😹