Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mbona wanawake wengi pm ziko wazi 😂😂Yani mi najiuliza wanapata ghasia zipi mpaka kuamua kufunga, sie wanawake inajulikana dhoruba tunazokutana nazo sasa na nyie!!
Usd imepanda lakini si sana kama mwezi wa 2-7 ebanaeee
Ila wengi kina Ini 😹