Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Leo TBT eti ngoja niweke TBT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Unazo ngapi nikupe mtu wa kumuuzia kwa rate nzuri.Nakoendaga hawawezi nifanyia hiyo roho nzuri najua watanigongelea hapo kwenye 2740 mbuzi wale ningesave hata laki kasoro
Huyo anamjua lamomy na sumbai tu mkuuNi nani huyo nitajie hata kwa code nitamjua
Walete code aiseeHuyo anamjua lamomy na sumbai tu mkuu
Bana mzigo wako nimetumiwa 😂😂Hahaha
Wanakuibia Hao mchuchu.
Wewe ndo utakua wa kwanza na mwisho
Nafanya malipo, sasa nakofanyia ndo wananibana kwa kutumia bei ya mtaani😂😂😂 Unazo ngapi nikupe mtu wa kumuuzia kwa rate nzuri.
Kupiga soga tu, kuselfika ahh 🤣🤣🤣Yani wewe ni maneno tu unatype picha akaaa
Odo mchuano ni mkali sana, umerudisha acha nimpe penalty shangazi 😹😹😹Gate la mbinguni, utahadithiwa tu Odo haki tena. 😅😅😅😅😅
PoleNafanya malipo, sasa nakofanyia ndo wananibana kwa kutumia bei ya mtaani
Huu wangu ni luluBana mzigo wako nimetumiwa 😂😂
Huyu wewe kabisa ulimtumia inni nonino
We kwanini chino nakua king'ang'aniziUsiwatishe watu mi wa kawaida 😂😂😂
We mbaya sanaKupiga soga tu, kuselfika ahh 🤣🤣🤣
Wee mbona kiatu kimoja kimebonyea 😂😂TBT yangu 2015 😎😎
View attachment 3107540
Ini kasema anatuma na video eti 😂😂Huu wangu ni lulu
Kuona lazima ufanye kazi sana.
Tunautaka huo ukawaidaUsiwatishe watu mi wa kawaida 😂😂😂
Wewe na mashetani yako tu mmeamua kuwa ving’ang’a 🤣🤣We kwanini chino nakua king'ang'anizi
Nimewaambia nna mimba 😂😂We mbaya sana