Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Waacheni wazee wote waje kwangu maana ufalme wangu ni wa kwaoAkili za kapeace 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waacheni wazee wote waje kwangu maana ufalme wangu ni wa kwaoAkili za kapeace 🤣 🤣 🤣
Huyu naona pensheni nitaila🤣🤣🤣
Hallelluyah🤣🤣Duh
Hakunà anaebishaa🤣Waacheni wazee wote waje kwangu maana ufalme wangu ni wa kwao
Wameshaniambukiza nishakuwa na show za kizee saiv😂😂😂
Hahaha ni kuwa smart,
Ku dance according to the tune.
Msiwapelekeshe wazee, shoo shoo viungo feni wakafa Kwa presha na Moyo kwenda mbio
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wameshaniambukiza nishakuwa na show za kizee saiv
Hahaha............. mwenyewe sina nguvu, nisije kufia katikati ya safari bure 😜Mimi nimestaafu mkuuu. Nguvu sina kabisa. Labda Kaka yetu Grahams achangamke
Chat na picha
Nilipenda hilo tukio la Club uje unisimulie kwa karibu, maana muda huu Bibi yenu bado hajarudi kutoka kisimani 🤸Hapana umenikumbusha mapito mengi,, hilo tukio la club ndipo nilijua nilivyo na bahati nao
Kutokamia show nayo ni moja ya faida yenu wazee🤣🤣🤣 mapenzi starehe sio mapambano
Slow motion kama kobe siku sukari na presha vikiwa normal ndo tunaparuana km fisi maji hiyo ni mara moja kwa mwaka inatoshaNilipenda hilo tukio la Club uje unisimulie kwa karibu, maana muda huu Bibi yenu bado hajarudi kutoka kisimani 🤸
Kumbe unapenda slow motion sio 😜
Nimewahi kusikia hivyo pia.Miaka mitatu si wanasema bado bado kichwa kisikomae au ni Imani tuu huku mtaani kjjn
😳🤣Hahaha............. mwenyewe sina nguvu, nisije kufia katikati ya safari bure 😜
Maana Wazee tunajijua, wakati wa kushusha Wazungu lazima tutetemeke huku Presha na Kisukari kikiwa juu 🙌
Hiyo moment Wazee tukikutana na mabinti fundi, unajikuta unamwandikia urithi wa mali zako zoteSlow motion kama kobe siku sukari na presha vikiwa normal ndo tunaparuana km fisi maji hiyo ni mara moja kwa mwaka inatosha
Mimi yupo, Ila mwanzoni nilikuwa nawaza hivyo...Nimewahi kusikia hivyo pia.
Bado sijafanikiwa kupata mtoto wa kike kwenye Uzao wangu, ila Siku nitakayompata nahisi ndiyo Siku nitakayoagiza wale Mbwa wakali wa Kizungu pamoja na ku-renew kibali cha kumiliki manati ya Mzungu
Wanasema mtoto wa kike rafiki yake Baba, wa kiume rafiki yake Mama...Mimi yupo, Ila mwanzoni nilikuwa nawaza hivyo...
Ila kadri muda unavyoenda sioni dalili ya kufanya hivyo. Sema tuu Ile nguvu ya kumgombeza haipo,
Yaaani ndio Moyo wangu ulipo days dota