sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Ukishusha wazungu tuu chap unamuagiza akuletee vidonge vya kuweka Sawa mwili na sindano yakurekebisha kiwango Kwa sukariHahaha............. mwenyewe sina nguvu, nisije kufia katikati ya safari bure 😜
Maana Wazee tunajijua, wakati wa kushusha Wazungu lazima tutetemeke huku Presha na Kisukari kikiwa juu 🙌
YaaanWanasema mtoto wa kike rafiki yake Baba, wa kiume rafiki yake Mama...
Nahisi nitakuwa na wivu sana Kwa binti yangu nikimpata.....ngoja nisubiri subiri huenda nikampata wa Uzeeni
Usipokuwa makini vibinti vinatupanda kichwani, so far yaan inakuwa Ile wanasema 'upindui'
Wakitaka nishawishi Jambo flani, wanamtumia yeye....