Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kabla ya vita ya mashariki ya kati kuzuka nilikua mtupiaji mkuu sana humu ujue.

Sema ulikuwa busy ukimpatia silaha Israel avishambulie vikundi vya ugaidi vya Hezbollah na hammas
Kumbe na wewe ni shahidi eeh nilivyokuwa chawa mpambe wa mnywani wako😂😂😂
Afu sahivi anakudanganya eti jeshi la mtu mmoja bila backup

Haya
Tupia basi nikuone.
Vita zishaisha,amani imetawala
Waliogombana washayamaliza
 
Mimi mwenyewe najua hakuna ua dui huo. bali ni kuchangamsha genge.

Afu sio fair ujue
Kwanini umenigeuzia kibao.
Ladies first alywayz.
 
Mimi mwenyewe najua hakuna ua dui huo. bali ni kuchangamsha genge.

Afu sio fair ujue
Kwanini umenigeuzia kibao.
Ladies first alywayz.
Yah
Sasahivi amani imetawala
Tupendane tukiwa hai...kifo kipo, na wenzetu wengine walikuwepo humu tunacheka pamoja walishatangulia mbele ya haki
Hivyo tupendane kabla hatujaondoka.
....
Do me a favor Chino
Tupia basi
Unataka nianze kubembeleza sana jamani 😂
 
Au tukutane live live kwenye maombezi ya passport this weekend kwa buldoza tuvuke zetu boader kabisa
 
Au tukutane live live kwenye maombezi ya passport this weekend kwa buldoza tuvuke zetu boader kabisa
Anaanzia na sisi wa Manzese😂😂😂, tunaotaka kuzeekea Manzese hata Burundi hapo tumeshindwa kufika
Chino ujue umemiweka hadi muda huu nasubiri hiyo selfie
 
Anaanzia na sisi wa Manzese😂😂😂, tunaotaka kuzeekea Manzese hata Burundi hapo tumeshindwa kufika
Chino ujue umemiweka hadi muda huu nasubiri hiyo selfie
Naona Ina load mtandao.
Kabla hapajakucha hata ukiwa umelala utaikuta pm
 
Back
Top Bottom