Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Haya Na wewe tupiaNdio nasubiri hapa atupie
Na wewe tupia Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Na wewe tupiaNdio nasubiri hapa atupie
Na wewe tupia Mkuu
Ikwapi yako Mkuu?Haya Na wewe tupia
Muda huu unapiga porojo hiziMi sio mzinguaji
MuuliZe mnywani.
Utaipata mtandao ukiwa sawa
Niko bush sana huku sehemu mmoja inaitwa kigwe Dom,
Usifunge pm tu kama Kapeace
Mkuu Mimi nimestaafu. Miezi miwili iliyopita niliadhimisha miaka kumi yakuwa na account jeif. Na miaka mingine minne yakuwa guest member.Hujijui tu
Ndo nakujuza sasa haha.
Mali kama hizi ndugu yangu sumbai sijui hana macho kama niliyonayo
Cha asubhi natakaKaribu ya jioni [emoji478] [emoji846]
Usijali itafika. BossMkuu Mimi nimestaafu. Miezi miwili iliyopita niliadhimisha miaka kumi yakuwa na account jeif. Na miaka mingine minne yakuwa guest member.
Kwa SASA nakula Kwa macho, chamsingi mwambie Aaliyyah aandae juice ya maziwa na tende, tuipate.
Kisha kapicha flan Ka mrembo Tayana-wog akiweka hapa, basi siku itaenda vyeedi saaana
🤣🤣🤣🤣WeeeeeMkuu Mimi nimestaafu. Miezi miwili iliyopita niliadhimisha miaka kumi yakuwa na account jeif. Na miaka mingine minne yakuwa guest member.
Kwa SASA nakula Kwa macho, chamsingi mwambie Aaliyyah aandae juice ya maziwa na tende, tuipate.
Kisha kapicha flan Ka mrembo Tayana-wog akiweka hapa, basi siku itaenda vyeedi saaana
hatari sana huyu kapeaceDada
Wewe ni mzuri sana aiseee
Glory be to God Kwa kazi njema ya uumbaji
Daaah! Kula tuna kula ila sio vitumbua aisee sijui nani afanya vitumbua kuwa chakula!Tufanye yote tusiache kulaView attachment 3120441
Ha ha ha mimi navipenda hapo ilikua vitumbua na uji wa mchele, dinner yangu ikaishia hapoDaaah! Kula tuna kula ila sio vitumbua aisee sijui nani afanya vitumbua kuwa chakula!
Mpya kwangu hii, ni mchele una sagwa kuwa unga kisha kupikwa uji?uji wa mchele
Mi sijui wanapikaje huwa kuna kaka ananipikiaMpya kwangu hii, ni mchele una sagwa kuwa unga kisha kupikwa uji?
UNA KITUMBUA KIZURI SimaraTufanye yote tusiache kulaView attachment 3120441
Good morning Tayana-wog🤣🤣🤣🤣Weeeee
😍😍😍 Rangi ya Mtume marshallahTufanye yote tusiache kulaView attachment 3120441