Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wifi mumeo anarudi halafu alivyo msumbufu anataka tumuandalie chakula cha kibongo, km vipi uje umpikie mwenyewe mi kuchoshana sitaki 😹😹😹

Nimemwambia akishuka airport moja kwa moja shishi food 🤣
Huyo niachie mm asikuchoshe my wii
Nitampikia mwaya Hadi atoe ela alizorudi nazo 😀 😀
 
Huyo niachie mm asikuchoshe my wii
Nitampikia mwaya Hadi atoe ela alizorudi nazo 😀 😀
Hayo sasa ndo maneno wifi 😍😍
Nipe list ya mahitaji muamala usome ujiachie jikoni 😹😹

Ila jiko gumu basi tyuuu..!! Anzisha darasa la mapishi wanafunzi tujiandikishe 🤣🤣
 
Ooh i didn't know i just do exercise with locals football exercise... I practice mostly at osterbay soccer pitch when in Dsm
TUKUTANE kukata wese
 
Attachments

  • IMG_20241018_123259.jpg
    IMG_20241018_123259.jpg
    480.5 KB · Views: 7
Hayo sasa ndo maneno wifi 😍😍
Nipe list ya mahitaji muamala usome ujiachie jikoni 😹😹

Ila jiko gumu basi tyuuu..!! Anzisha darasa la mapishi wanafunzi tujiandikishe 🤣🤣
Niweze wapi my Wii hapa Kuna darasa la Lilian komba na fooddiary wanaungana natamani nijiunge nijifunze kupika na spices zenye majina ya kizungu😃😃😃
Mwambie kakaako atoe Hela tupike wali wa pilipili 😃😃😃
 
😹😹😹😹 unataka kuniulia kaka yangu wali wa pilipili tena wii??
Mkinga anapelekwa India kwa mapishi 🤣🤣
Pesa atatoa kwako kafika hafurukuti
 
Back
Top Bottom