Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Juzi masikini yangu Mimi nililewa chakari ,ila akili kila mda inaniambia post selfika
Kuna roho unasema sijapendeza fika nyumbani uselfike ,si nikafika usiku wa saa nne nikavua nguo Sasa ili nilale akili inanikumbusha haujapost mbona .

Huyo nikapiga picha ya full nikiwa uchi Sasa nimepost Ila ikawa inagoma akili ya pombe inasema usizime data wewe lala itajipost tu .

Asubuhi naamka naanza kurecall ujinga ule napitia huku sioni kitu Ila nakumbuka mbona nilipost ,doh salale nakuja kuangalia nakuta picha zilifeli Ila nilikuwa uchi na kakibamia kangu .

Aisee nilichoka kabisa ,It's malaika nishukuru wapi nikawa na kiwewe kuwa labda ilikuja picha Ila hamkuiona ,tafuta wapi mwisho nikaamini kweli sikupost chochote .

Wandugu nitoe rai naomba ikitokea siku picha yangu ya uchi ikaja hapa ukiiona ukiwa wa kwanza tafadhali wasilana na moderator haraka wambie waifute na kunipiga life ban ila nitafute hata kwa kutuma meseji PM walau nikutumie chochote Ila jua utakuwa umemuokoa kiumbe mmoja anayepitia changamoto nyingi Sasa na pombe inataka kumuongezea msongo wa mawazo .
 
Baby em niambie chama letu Yanga sahivi linachezaje kuna improvement zozote au bora Gamond?

Nilikuwa busy leo sijapata hata nafasi kuchungulia Tv Bantu Lady
Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.

Huyu naye si mbaya, sema kakabidhiwa timu, kipindi kibaya. Tuko CAF Champions League. Aanze kuwasoma wachezaji wote, timu irudi kama mwanzo, ila tutakaa sawa na atafanya maajabu tu. Naimani hiyo, si unaona Man City inavyokabwa koo huko pia. So ni upepo tu, utapita. I miss you 😘
 
Kwa timu hiii naona wale waarabu tutawapiga kama ngoma na mazembe nae tutampiga kipigo pale kwake Lubumbashi sisi hao robo fainali 😎😎
 
mwenzenu mwana jf tupo kwenye ndinga languu
FB_IMG_1732985289996.jpg
 
Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.

Huyu naye si mbaya, sema kakabidhiwa timu, kipindi kibaya. Tuko CAF Champions League. Aanze kuwasoma wachezaji wote, timu irudi kama mwanzo, ila tutakaa sawa na atafanya maajabu tu. Naimani hiyo, si unaona Man City inavyokabwa koo huko pia. So ni upepo tu, utapita. I miss you 😘
hivi ni wewe huyu uliyechambua mpira hapa au nimekufananisha?
 
Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.

Huyu naye si mbaya, sema kakabidhiwa timu, kipindi kibaya. Tuko CAF Champions League. Aanze kuwasoma wachezaji wote, timu irudi kama mwanzo, ila tutakaa sawa na atafanya maajabu tu. Naimani hiyo, si unaona Man City inavyokabwa koo huko pia. So ni upepo tu, utapita. I miss you 😘
Baby em niambie chama letu Yanga sahivi linachezaje kuna improvement zozote au bora Gamond?

Nilikuwa busy leo sijapata hata nafasi kuchungulia Tv Bantu Lady
kila siku mwenzako yupo busy na wewe 🤣
 
Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.

Huyu naye si mbaya, sema kakabidhiwa timu, kipindi kibaya. Tuko CAF Champions League. Aanze kuwasoma wachezaji wote, timu irudi kama mwanzo, ila tutakaa sawa na atafanya maajabu tu. Naimani hiyo, si unaona Man City inavyokabwa koo huko pia. So ni upepo tu, utapita. I miss you 😘
Huyu kocha sijaona mechi zake zaidi ya ile ya kwanza hivo sijajua timu itakuwaje chini yake. Kule ulaya nadhani city anasumbuliwa na kumkosa Rodri, Pep ni kocha mzuri kashaprove sina shaka nae. Btw mimi kule ni Man utd.

I miss you more my darling,
Thinking of you all the time, ndio hivo tu....
 
Back
Top Bottom