Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
SawaNgoja nijaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNgoja nijaribu
wezaSawa
Sawa loveNime
weza
Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.Baby em niambie chama letu Yanga sahivi linachezaje kuna improvement zozote au bora Gamond?
Nilikuwa busy leo sijapata hata nafasi kuchungulia Tv Bantu Lady
Kwa timu hiii naona wale waarabu tutawapiga kama ngoma na mazembe nae tutampiga kipigo pale kwake Lubumbashi sisi hao robo fainali 😎😎Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.
Huyu naye si mbaya, sema kakabidhiwa timu, kipindi kibaya. Tuko CAF Champions League. Aanze kuwasoma wachezaji wote, timu irudi kama mwanzo, ila tutakaa sawa na atafanya maajabu tu. Naimani hiyo, si unaona Man City inavyokabwa koo huko pia. So ni upepo tu, utapita. I miss you 😘
hivi ni wewe huyu uliyechambua mpira hapa au nimekufananisha?Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.
Huyu naye si mbaya, sema kakabidhiwa timu, kipindi kibaya. Tuko CAF Champions League. Aanze kuwasoma wachezaji wote, timu irudi kama mwanzo, ila tutakaa sawa na atafanya maajabu tu. Naimani hiyo, si unaona Man City inavyokabwa koo huko pia. So ni upepo tu, utapita. I miss you 😘
Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.
Huyu naye si mbaya, sema kakabidhiwa timu, kipindi kibaya. Tuko CAF Champions League. Aanze kuwasoma wachezaji wote, timu irudi kama mwanzo, ila tutakaa sawa na atafanya maajabu tu. Naimani hiyo, si unaona Man City inavyokabwa koo huko pia. So ni upepo tu, utapita. I miss you 😘
kila siku mwenzako yupo busy na wewe 🤣Baby em niambie chama letu Yanga sahivi linachezaje kuna improvement zozote au bora Gamond?
Nilikuwa busy leo sijapata hata nafasi kuchungulia Tv Bantu Lady
Huyu kocha sijaona mechi zake zaidi ya ile ya kwanza hivo sijajua timu itakuwaje chini yake. Kule ulaya nadhani city anasumbuliwa na kumkosa Rodri, Pep ni kocha mzuri kashaprove sina shaka nae. Btw mimi kule ni Man utd.Ooh ubusy huu, sikuangalia pia, ila tumeshinda 2 dhidi ya Namungo. Gamondi alikuwa kocha mzuri, alishawasoma wachezaji wote, akawa anajua kikosi cha kwanza, nani wa kubadili.
Huyu naye si mbaya, sema kakabidhiwa timu, kipindi kibaya. Tuko CAF Champions League. Aanze kuwasoma wachezaji wote, timu irudi kama mwanzo, ila tutakaa sawa na atafanya maajabu tu. Naimani hiyo, si unaona Man City inavyokabwa koo huko pia. So ni upepo tu, utapita. I miss you 😘
mtu kuwa busy haijawahi kuwa shida mkuu.kila siku mwenzako yupo busy na wewe 🤣
We jidamganye tumtu kuwa busy haijawahi kuwa shida mkuu.
😂nilikuwa uchi na kakibamia kangu
Hayo mambo mazuri mbona siyaoni?😎Mambo mazuri hayataki haraka
Ohoooo! Mbona nlishaupload nikafuta.... itakua hupiti piti hukuHayo mambo mazuri mbona siyaoni?😎
🙄🙄 mbona hukunitag? roho mbaya hiyoOhoooo! Mbona nlishaupload nikafuta.... itakua hupiti piti huku
Siku nyingine takutag 😄🙄🙄 mbona hukunitag? roho mbaya hiyo
Sijapenda 😒☹️Siku nyingine takutag 😄
Next time uhakika takutag tena za migombaniSijapenda 😒☹️