Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

DSC_0344.JPG
 
Duh pole ungejifukiza
Mkuu kwa hali niliyokuwa nayo nisingeweza hata kushika sufuria. Niliomba tu Mungu aniondolee roho ya mauti kama inanifuata.

Nilikuwa nikitunisha mwili hivi napata maumivu ndani ya mwili. Sikioni, puani, hadi kwenye uso kwa ndani. Nikajua Covid kabisa.

Kuna mtu alikuja na mafua ofisini ndio toka hapo nikapatwa hiyo ajabu. Sijawahi ugua kwa namna ile.
 
Jambo jema umepona
 
Ndugu Mwachiluwi ni kweli Kuna bog linaendelea chini chini upande wenu ? Maana huku naona Kuna akina baba kanituma wameondoka Leo kwa kisigiri Cha Wana degree za cyber security embu nyoosha maelezo maana nina kijana wangu aishi kuniuliza ,Sasa shida milingoti yangu yote Sasa ni miambassador haina info ya Siri tena
Ubaya IPO mbali na Kijiji chetu pia

Ninyooshee mike
 
Back
Top Bottom