Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa ni wapi 😃
IMG_20181208_122553.jpg
 
Hiyo tattoo hawakuiona wakati wa ukaguzi ama umechora baada?

Pamoja na Uzee nilionao lakini bado naweza kuona mbali 😜
Ahahah we babu fumba macho yaani umezoom sio tattoo nimechora kwa na piko inafutikaa mkuu
 
Kama inafutika hapo sawa

Zikiwa za kudumu ndiyo huwa shida baadaye unapotaka kuzifuta
Siwezi ngumu watu wakiona tu wanakuchoma kuna dada alikuwa na mshono hakuna alie kuwa anajua zaidi ya wale walio kuwa anaishi nao wakaja kugombama kisa mwanaume mwenzake akaenda kumchongea mambo yaka haribika
 
Aisee pole mkuu 😀 😀 hapa ni sehemu nzuri sana mida ya jioni Kuna kuwa kama sio sehemu ya Tanzania ni pazuri mno
Napaelewa Sana Kaka ,enzi hizo nilikuwa natoka kariakoo ,nyumbani nakuja hapo walipojenga hayo majumba ya mwendokasi kumsubilia Regina aje walau niongee naye alafu arudi kwao .

Panachangamka Sana ,ni hapo nilipewa jibu kuwa sipendwi alafu mtoto akavuka barabara fasta upande wa pili ,Mimi natamani nivuke haraka walau na kigiza kile na mwanga hafifu wa taa za hapo nikitamani nikapige hata goti ili niseme hapana Mimi ndiye mmewe .

Lakini ningeweza wapi na magari yapo kasi kupita Kaka ? Nilihangaika kama kuku anayetaka kutaga ili nimuwahi Ila haikuwa bahati akatokomea na magari ndiyo yakawa yamesimama nahisi ilikuwa foleni ya kiongozi .

Nikauliza Sana mitaa ile lakini wapi ni mpaka nilipoamua kuondoka Ila nikaja kujua adui yangu ni gabachori mmoja wa mtaani kwangu kariakoo maghorofani ndiye alikuwa ananisilibia maumivu.

Imebaki history ,sijui yu wapi Regina Ila namkumbuka kwa mengi dada yule Ila kwa Mara ya kwanza nilijihisi kulia kisa kukataliwa😂😂
 
Siwezi ngumu watu wakiona tu wanakuchoma kuna dada alikuwa na mshono hakuna alie kuwa anajua zaidi ya wale walio kuwa anaishi nao wakaja kugombama kisa mwanaume mwenzake akaenda kumchongea mambo yaka haribika
Duh hiyo hatari

Ndiyo maana watu husema Siri ni ya watu wawili, lakini inategemeana na unayempa Siri yenyewe

Imagine unampa Siri min -me akiwa na beer ya pili, akifikisha beer ya 8 anaiweka hadharani 😜
 
Napaelewa Sana Kaka ,enzi hizo nilikuwa natoka kariakoo ,nyumbani nakuja hapo walipojenga hayo majumba ya mwendokasi kumsubilia Regina aje walau niongee naye alafu arudi kwao .

Panachangamka Sana ,ni hapo nilipewa jibu kuwa sipendwi alafu mtoto akavuka barabara fasta upande wa pili ,Mimi natamani nivuke haraka walau na kigiza kile na mwanga hafifu wa taa za hapo nikitamani nikapige hata goti ili niseme hapana Mimi ndiye mmewe .

Lakini ningeweza wapi na magari yapo kasi kupita Kaka ? Nilihangaika kama kuku anayetaka kutaga ili nimuwahi Ila haikuwa bahati akatokomea na magari ndiyo yakawa yamesimama nahisi ilikuwa foleni ya kiongozi .

Nikauliza Sana mitaa ile lakini wapi ni mpaka nilipoamua kuondoka Ila nikaja kujua adui yangu ni gabachori mmoja wa mtaani kwangu kariakoo maghorofani ndiye alikuwa ananisilibia maumivu.

Imebaki history ,sijui yu wapi Regina Ila namkumbuka kwa mengi dada yule Ila kwa Mara ya kwanza nilijihisi kulia kisa kukataliwa😂😂
Pole sana ndugu aisee hapa miyeyusho sana wenye dau kubwa ndio wanasepa na watoto wakali
 
Back
Top Bottom