Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Tumekuita tuone likitambi lako 😹naona nimeitwa nini kimetokea vijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekuita tuone likitambi lako 😹naona nimeitwa nini kimetokea vijana
Hii nyumba ya boss wako ya kawaida haina maajabu, ému tuwekee picha ya tambi lako basi 😹😹Nimepoa wanetu 😎
View attachment 3197669
Kwahiyo umegoma kutupia kitambi chako Kaka bonge 😹😹😹Hapa ni wapi 😃
View attachment 3197676
Hiyo tattoo hawakuiona wakati wa ukaguzi ama umechora baada?Sio kila siku kuvaa suruali ndefu mda mwingine vaa pensi miguu ipitie hewa min -me Zulu man De Opera MENEMENE TEKERI NA PERESI mshamba_hachekwi Half american View attachment 3197637
Ahahah we babu fumba macho yaani umezoom sio tattoo nimechora kwa na piko inafutikaa mkuuHiyo tattoo hawakuiona wakati wa ukaguzi ama umechora baada?
Pamoja na Uzee nilionao lakini bado naweza kuona mbali 😜
Morocco_Airtel kwao na Regina kilumile dada aliyetaka kunichizisha mtoto wa watuHapa ni wapi 😃
View attachment 3197676
Aisee pole mkuu 😀 😀 hapa ni sehemu nzuri sana mida ya jioni Kuna kuwa kama sio sehemu ya Tanzania ni pazuri mnoMorocco_Airtel kwao na Regina kilumile dada aliyetaka kunichizisha mtoto wa watu
Kama inafutika hapo sawaAhahah we babu fumba macho yaani umezoom sio tattoo nimechora kwa na piko inafutikaa mkuu
Siwezi ngumu watu wakiona tu wanakuchoma kuna dada alikuwa na mshono hakuna alie kuwa anajua zaidi ya wale walio kuwa anaishi nao wakaja kugombama kisa mwanaume mwenzake akaenda kumchongea mambo yaka haribikaKama inafutika hapo sawa
Zikiwa za kudumu ndiyo huwa shida baadaye unapotaka kuzifuta
Inawezekana ni yeye huyo 😃Kwamba huyo mkaka ni wewe?
Mbona unatupa chai? Huyo mkaka yupo ig anadhurula na Mwijaku.
Ahahha kumbeKwamba huyo mkaka ni wewe?
Mbona unatupa chai? Huyo mkaka yupo ig anadhurula na Mwijaku.
Napaelewa Sana Kaka ,enzi hizo nilikuwa natoka kariakoo ,nyumbani nakuja hapo walipojenga hayo majumba ya mwendokasi kumsubilia Regina aje walau niongee naye alafu arudi kwao .Aisee pole mkuu 😀 😀 hapa ni sehemu nzuri sana mida ya jioni Kuna kuwa kama sio sehemu ya Tanzania ni pazuri mno
Duh hiyo hatariSiwezi ngumu watu wakiona tu wanakuchoma kuna dada alikuwa na mshono hakuna alie kuwa anajua zaidi ya wale walio kuwa anaishi nao wakaja kugombama kisa mwanaume mwenzake akaenda kumchongea mambo yaka haribika
Ahahah kabisaDuh hiyo hatari
Ndiyo maana watu husema Siri ni ya watu wawili, lakini inategemeana na unayempa Siri yenyewe
Imagine unampa Siri min -me akiwa na beer ya pili, akifikisha beer ya 8 anaiweka hadharani 😜
Pole sana ndugu aisee hapa miyeyusho sana wenye dau kubwa ndio wanasepa na watoto wakaliNapaelewa Sana Kaka ,enzi hizo nilikuwa natoka kariakoo ,nyumbani nakuja hapo walipojenga hayo majumba ya mwendokasi kumsubilia Regina aje walau niongee naye alafu arudi kwao .
Panachangamka Sana ,ni hapo nilipewa jibu kuwa sipendwi alafu mtoto akavuka barabara fasta upande wa pili ,Mimi natamani nivuke haraka walau na kigiza kile na mwanga hafifu wa taa za hapo nikitamani nikapige hata goti ili niseme hapana Mimi ndiye mmewe .
Lakini ningeweza wapi na magari yapo kasi kupita Kaka ? Nilihangaika kama kuku anayetaka kutaga ili nimuwahi Ila haikuwa bahati akatokomea na magari ndiyo yakawa yamesimama nahisi ilikuwa foleni ya kiongozi .
Nikauliza Sana mitaa ile lakini wapi ni mpaka nilipoamua kuondoka Ila nikaja kujua adui yangu ni gabachori mmoja wa mtaani kwangu kariakoo maghorofani ndiye alikuwa ananisilibia maumivu.
Imebaki history ,sijui yu wapi Regina Ila namkumbuka kwa mengi dada yule Ila kwa Mara ya kwanza nilijihisi kulia kisa kukataliwa😂😂
HakikaPole sana ndugu aisee hapa miyeyusho sana wenye dau kubwa ndio wanasepa na watoto wakali
Mi hata ninywe nini sipati kitambi,nagonga tu malite.Au sio acheni bia vitambi havitaisha wine zipo good