Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
Exactly 😂, tupia sad picSawa bhna ila kulia kupokezana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly 😂, tupia sad picSawa bhna ila kulia kupokezana
Mood ya kuangalia wakonge uhuu bhnaExactly 😂, tupia sad pic
Sawa mkuuMood ya kuangalia wakonge uhuu bhna
Hahahaha bila picha?Good morning SELFIKAS❤💗❤💗❤💗
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aisee naitwa Vincenzo Jr tajiri kutoka kigamboni naweza kukupeleka Zanzibar tupate kahawa na samaki 😎😎
Best upo? Mjini hapa hapa au kisiwani?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kila mtu kwenye maisha Kuna kitu anakiogopa bila sababu, ni kawaida.
Mfano Heaven Sent Kuna vitu anaviogopa ila atakuja hapa mwenyewe aseme.
Binafsi naogopa kinyonga kuliko maelezo, ntakua nyoka na Kila aina ya kiumbe lakini kinyonga nikimuona tu, nasismka sitaki hata kumwangalia.
Kimsingi sitaki iwe karibu sana na maji ila niwe naweza kuyaina maji nikiwa ndani ya kanyumba kenye madirisha makubwaaaa ya viooo.
Mjini bestBest upo? Mjini hapa hapa au kisiwani?
Mji mkubwa hii hatuonani kabisa, hebu fanya tuonane bestMjini best
ni nzuriNapita naked
Nini?ni nzuri
maning'ining'i.Nini?
Kheemaning'ining'i.
Nasubiri nyamwi 😹Napita naked