Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kiboko ya uchafu na madoa mawasiliano yapo hapo
20250118_081419.jpg
 
Kila mtu kwenye maisha Kuna kitu anakiogopa bila sababu, ni kawaida.

Mfano Heaven Sent Kuna vitu anaviogopa ila atakuja hapa mwenyewe aseme.

Binafsi naogopa kinyonga kuliko maelezo, ntakua nyoka na Kila aina ya kiumbe lakini kinyonga nikimuona tu, nasismka sitaki hata kumwangalia.

Kimsingi sitaki iwe karibu sana na maji ila niwe naweza kuyaina maji nikiwa ndani ya kanyumba kenye madirisha makubwaaaa ya viooo.
Screenshot_20250124_153958_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom