EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
Vyuo vimejazana chungu nzima ni wewe tu.Tena vingine buree kabisa.Sisi hatukusoma bhna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo vimejazana chungu nzima ni wewe tu.Tena vingine buree kabisa.Sisi hatukusoma bhna
Kipi iko cha bureVyuo vimejazana chungu nzima ni wewe tu.Tena vingine buree kabisa.
ChatGPTKipi iko cha bure
Now nipo njia panda nataka kuchukua international relationship ila nahisi kama haitanifikisha napotaka ni coz zip mzuri sanaChatGPT
You said:
Vyuo vinavyotoa kozi za bure mtandao
Vyuo Vikuu Vinavyotoa Kozi za Bure
- Harvard University – Kupitia Harvard Online Learning
- Stanford University – Kupitia Stanford Online
- MIT (Massachusetts Institute of Technology) – Kupitia MIT OpenCourseWare
- Yale University – Kupitia Open Yale Courses
- University of London – Kupitia Coursera
Majukwaa yanayotoa Kozi za Bure
- Coursera (www.coursera.org) – Inatoa kozi kutoka vyuo vikuu mbalimbali duniani.
- edX (www.edx.org) – Inatoa kozi kutoka vyuo vikuu kama Harvard, MIT, na wengine.
- Udemy (www.udemy.com) – Ingawa kozi nyingi ni za kulipia, kuna kozi za bure pia.
- Khan Academy (www.khanacademy.org) – Hutoa mafunzo ya bure kwa masomo mbalimbali.
- FutureLearn (www.futurelearn.com) – Inatoa kozi za bure kutoka vyuo vikuu vya Uingereza.
- Alison (www.alison.com.Ni wewe ni bundle lako.Credit ChatGPT.
Itakua wameshusha, kuna kipindi ilikuwa kama sio milioni 5 basi ni milioni 1..Ahah si nasikia laki 2
Wamekosa wadauItakua wameshusha, kuna kipindi ilikuwa kama sio milioni 5 basi ni milioni 1..
Naona mboga saba alafu zote za majani 😂View attachment 3225389
Half american Shing Yui Mad Max karibuni bhna wazee Lamomy hii nayo itakushinda MENEMENE TEKERI NA PERESI
Au sioNaona mboga saba alafu zote za majani 😂
Mbona kaugali kadoncho sana😑View attachment 3225389
Half american Shing Yui Mad Max karibuni bhna wazee Lamomy hii nayo itakushinda MENEMENE TEKERI NA PERESI
Usiku utakiw kula kushiba sana utaota ndoto mbayaMbona kaugali kadoncho sana😑
Kumbe ilikuwa usiku?,. Nilidhani ya mchanaUsiku utakiw kula kushiba sana utaota ndoto mbaya
UsikuKumbe ilikuwa usiku?,. Nilidhani ya mchana
NdioAu sio
Ila mwachi unapika mdogo wangu 😋😋😻View attachment 3225389
Half american Shing Yui Mad Max karibuni bhna wazee Lamomy hii nayo itakushinda MENEMENE TEKERI NA PERESI
Ashukuliwe mama yangu kipindi iko nilikuwa namuona ananikomoa anaenda zake dukani morng ana kwambia kila kitu kipo kikiiva nilete dukani kipindi iko nikirudi shule likizo nilikuwa natukana sana moyoniIla mwachi unapika mdogo wangu 😋😋😻
Haya usisahau kutupia recipe basi 😹
Huyo mama yupo vizuri sana, ndo inavyotakiwa sio kulelewa km yai 😹Ashukuliwe mama yangu kipindi iko nilikuwa namuona ananikomoa anaenda zake dukani morng ana kwambia kila kitu kipo kikiiva nilete dukani kipindi iko nikirudi shule likizo nilikuwa natukana sana moyoni
Umenitenga siku hizi 😢😢Hapana sikuchukii mtoto angu mzuri