Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

Utopolo ni Wasahaulifu Sana...!

Ngoja niwakumbushe...!

Nyie Utopolo mpo Shirikisho..!
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..
Shirikisho..

Huko ndiko Ma losers Wamerundikana..!
Yajueni Mashindano munayoshiriki Kwanza..!
 
hakuna timu inaitwa young Africa nyinyi ni YANGA mahindi ya njano aka amphibians au utopyinyo
 
Na nembo yenu ya mwenge 😅😂😅

Halafu mbona naona wadada wawili wanacheza mpira, hivi hamna wanaume wachezaji huko ukimuacha huyo Mandonga hapo?
Sports club maana yake nini!?
 
najua sana na mengine Simba Queens ilifika hadi nusu fainali ikawa timu ya pili nchini kutumia VAR baada ya Simba SC
Simba ilitumia var lini!?.. waulizeni berkane
 
Nilidhani rage alikurupuka kuwaita mbumbumbu, CAF huandaa afcon,youth tournaments, champions league, confederation league nk
 
Tatizo umeanza kufuatilia soka mwaka huu
Simba haijawahi kutumia VAR popote tangu inzishwe. Si wakati ikitwa Queen [emoji146], Sunderland au Simba. Kama unauhakika Lini walitumia VAR tukumbushane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…