Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

Lini uliona timu ya netball ya uto au mwanandondi wa uto? Hiyo ni logo uchwara mngekuwa mnajielewa mngeibadili.
Kwa umri wangu niliziona,kipindi hicho ndondi zinatangazwa redioni
 
Tatizo umeanza kufuatilia soka mwaka huu
Nafuatilia soja tangu enzi za akina mziba,makelele,makumbi juma na chumila,Simba haijawahi tumia var Bali imewahi cheza var ikiwepo uwanjani
 
Nafuatilia soja tangu enzi za akina mziba,makelele,makumbi juma na chumila,Simba haijawahi tumia var Bali imewahi cheza var ikiwepo uwanjani
Labda simbaqueen kule Morocco
 
Simba haijawahi kutumia VAR popote tangu inzishwe. Si wakati ikitwa Queen [emoji146], Sunderland au Simba. Kama unauhakika Lini walitumia VAR tukumbushane.
Watu wajinga kama hawa una waacha tu, mechi ya Dar na Pirates VAR ilikua mbovu, hata South Africa haikutumika , Rage aliona mbali sana
 
Mimi huwa nakumbuka sana adhabu hii ya mwaka 1998
 
Attachments

  • Screenshot_20230402_181254.jpg
    Screenshot_20230402_181254.jpg
    49 KB · Views: 1
Back
Top Bottom