Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kwahiyo jamaa akakutoa wasiwasi. "Ingia tu ndio hapo usiogope jisikie upo nyumbani" . πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Alikuchukulia kawaida sana .Yaani hata bila mtongozo straight hadi lodge ...!
 
Mjini mambo mengi hakuna mwenye muda uo
 
Ulipishana na gari la mshahara siku hiyo kwa sababu ya kukosa kwako uvumilivu.
 
Kuwa na nia ya kuanzisha mahusiano ya kimapenzi kati ya watu wazima wawili wa jinsia 2 tofauti ni agenda ya siri ?
 
Binafsi sijaona kosa hapo, yeye kama mwanaume anatimiza wajibu wake kihisia ni vile tu alishindwa kukwambia direct, Btw kutamani na kutongoza ni kazi kuu ya mwanaume hapa duniani mpaka tunaingia kaburini so its either umtunuku au la
 
Rikiboy kamponza mtumishi wa umma,
Na ungezubaa tu angeleta kimasihara yake.
Pole sana na hongera pia.

#Hallelujah!!!
 
Thank you Lee kwa kuniheshimisha na hii ndio ilikua lengo la uzi wangu, mtu unampa heshima na hadhi kubwa anakuja kuivunja padogo sana, si umeona alivyo mshenzi akaenda kutafuta lodge kabisa na hapo asijali hata ulipomwambia kua umeletwa na Mr wako,
Kuna watu watatetea huu ujinga sababu ndio hua wanaufanya ila ni ushenzi na haustahamiliki, ukiheshimiwa jiheshimishe.
Pole dear
 
Hizi ndio nyuzi za maana sasa, sio kila siku sisiem na chadema allo.....🀣
 

Kwani kumtaka mtu kimapenzi ni kumvunjia heshima? Kama ameolewa ni sawa, ila hivi hivi tu sidhani kama ni kumvunjia heshima. Una haki ya kukataa na mkabaki kuheshimiana kama mwanzo.
 
Although alichokosea ni kwamba anajua upo kwenye ndoa ila kama ungekua huna ndoa basi aliharakisha tu ila iyo ilikua imeenda angeleta story kwenye uzi wa kula kimasihara na njonjo nyingi
 
Kwani kumtaka mtu kimapenzi ni kumvunjia heshima? Kama ameolewa ni sawa, ila hivi hivi tu sidhani kama ni kumvunjia heshima. Una haki ya kukataa na mkabaki kuheshimiana kama mwanzo.
Ukishamtongoza ile heshima mwanamke aliyokua anakupa mwanzo haiwezi kuwepo tena huo ndio ukweli, sijui mmelelewa mazingira gani ila nahisi makuzi yenu hamjafunzwa kuhusu heshima kwa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…