Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

Salaam wakuu!

Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.

NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"

Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote.

Jamani watu mnatoa wapi hela.

Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
Kuna vitu tuna fanya vitakuja vitufanye tujutie Sana baadae kipindi ambapo tutakuwa hatuma nafasi ya kuviepuka Tena

kwani tutakuwa tumeondoka kwenye ulimwengu huu ambao tunauishi sasa/ulimwengu wa ulibukeni na ujana na kwenda na wakati

Mungu atupe uoni wa kifikra
 
Salaam wakuu!

Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.

NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"

Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote.

Jamani watu mnatoa wapi hela.

Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
mi nimelia kabisa
 
Back
Top Bottom