Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

Salaam wakuu!

Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.

NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"

Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote.

Jamani watu mnatoa wapi hela.

Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
Nipo na iPhone 6s mwaka wa saba huu na napiga simu na kupokea, napiga picha nk
 
Salaam wakuu!

Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.

NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"

Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.

Jamani watu mnatoa wapi hela.

Nawasilisha. Ila nimeumia sana.

Ukiona hivyo jua tu sio level yako, watu wananunua bila hata kufikiria yani wanaswipe tu card ya VISA na kuunbox tu
 
Kama unashangaa mtu kununua simu kwa 6m kwann hushangai mtu kuhonga V8 kwa ajili ya papuchi tu.
 
Salaam wakuu!

Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.

NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"

Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.

Jamani watu mnatoa wapi hela.

Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
People cry,not because they are weak. It's because they have been strong for too Long.
 
Salaam wakuu!

Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.

NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"

Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.

Jamani watu mnatoa wapi hela.

Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
hiyo simu nimeletwa kwa ajili wa wahaya!!
 
Iphone store zipo daslm ? au ndio zile simu ukinunua muuzaji akikupa mgongo tu imekula kwako..
 
Umaskini una namna nyingi ya kurudi kwa mhanga wake wa zamani. Hapo kuna maskini wa zamani watavimba na kununua hiyo simu kisha ghafla watajikuta walipokuwa mwanzoni.
 
Salaam wakuu!

Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.

NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"

Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.

Jamani watu mnatoa wapi hela.

Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
Dawa yao ni ndogo, subiri mwaka, utainununua hiyo hiyo kwa milioni 1
 
Haikutakiwa kuwa na bei kiasi hicho ila sababu ya demand tu lakini tukumbuke pia hata kampuni ya sumsung akitoa ultra 25 kwenye mwezi wa pili bei yake imesimama kabisa
uamuzi sahihi ni kununua kitu ambacho unauwezo nacho tu sababu hata kama ni simu ni laki tatu kama huna matumizi ya maana ni matumizi mabaya ya fedha hata hao wanaoponda kununua hiyo iphone 16 pro max hawana hela tu ila wakiwa nazo watanunua sema umaskini ukiwa mkubwa unakuwa mshauri wa kila kitu
hivyo kikubwa ni kutafuta hela na kuangalia uwezo wako
 
Bei mbona hazieleweki, wauzaji wanachukua mzigo sehemu tofauti maana iStore anauza 5m na ushee huku wengine wengi wakiuza 3.5m mpaka 3.8m........shida inakuwa nini hapa au ndo yale mambo yetu ya kuna chimbo ukiingia unakunywa soda kwa 600 na Kuna chimbo ukiingia unakunywa soda hiyo hiyo na utamu ule ule kwa buku 3
 
Nipo na iPhone 6s mwaka wa saba huu na napiga simu na kupokea, napiga picha nk
Kwenye iPhone nimejifunza usinunue simu used au second hand zilizorudi kiwandani nunua brand new utaitumia muda mrefu sana mimi najipanga mwakani ni chukue 16+ 256gb maana mimi nabadilisha simu kila baada ya miaka 5
 
Back
Top Bottom