Nipo na iPhone 6s mwaka wa saba huu na napiga simu na kupokea, napiga picha nkSalaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote.
Jamani watu mnatoa wapi hela.
Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
Swali zuri sana.Mimi sikwambii tafuta hela.
Ila, nakuuliza.
Kwani umelazimishwa kununua?
Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.
Jamani watu mnatoa wapi hela.
Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
People cry,not because they are weak. It's because they have been strong for too Long.Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.
Jamani watu mnatoa wapi hela.
Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
hiyo simu nimeletwa kwa ajili wa wahaya!!Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.
Jamani watu mnatoa wapi hela.
Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
Dawa yao ni ndogo, subiri mwaka, utainununua hiyo hiyo kwa milioni 1Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.
Jamani watu mnatoa wapi hela.
Nawasilisha. Ila nimeumia sana.
NAKAZIA HAPA.Umaskini una namna nyingi ya kurudi kwa mhanga wake wa zamani. Hapo kuna maskini wa zamani watavimba na kununua hiyo simu kisha ghafla watajikuta walipokuwa mwanzoni.
Hiyo pesa napata ka Ist kakali kabisa
DuhNilinzungusha fensi kiwanja cha 20x30 kwa million 6.
Kwenye iPhone nimejifunza usinunue simu used au second hand zilizorudi kiwandani nunua brand new utaitumia muda mrefu sana mimi najipanga mwakani ni chukue 16+ 256gb maana mimi nabadilisha simu kila baada ya miaka 5Nipo na iPhone 6s mwaka wa saba huu na napiga simu na kupokea, napiga picha nk