Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hakuna wajinga wnajiona wamepatia kama mnaochora haya mamistari kweny mt4&mt5 ...Nikuambie hapo unapoteza mda forex tumefanya sana bila kujifanya mtu wa viwanja na kuwa na pesa hupati wanafunzi wa kuwapiga pesa ng'o ,Utaendelea kuwa na ndoto za kushika pesa ndefu ukijdanganya kwamba unakuwa na trading plan & consistent .
Fanya kile moyo wako unapenda. life is all about choices. mimi kunivamia kwa maneno hakutokusaidia chochote, focus na kile kinachoweza kukusaidia.Hakuna wajinga wnajiona wamepatia kama mnaochora haya mamistari kweny mt4&mt5 ...Nikuambie hapo unapoteza mda forex tumefanya sana bila kujifanya mtu wa viwanja na kuwa na pesa hupati wanafunzi wa kuwapiga pesa ng'o ,Utaendelea kuwa na ndoto za kushika pesa ndefu ukijdanganya kwamba unakuwa na trading plan & consistent .
Hata ufanyaje forex kwa sokoni ni more than gambling .
Utakuja na hoja za kitoto ntakupa code zote za forex ambazo hujawai kuambiwa na mentor wako anayekucoach.
Wacha kumdanganya watu na machart hayo!!Fanya kile moyo wako unapenda. life is all about choices. mimi kunivamia kwa maneno hakutokusaidia chochote, focus na kile kinachoweza kukusaidia.
Una scalp!forex ukijifunza vizuri ukufahamu ina kwenda vipi ni kama unafanya biashara.alafu ni kitu kizuri kuwa na mtaji na malengo sio tamaa za kutaka kujitajilisha View attachment 2329597
Mkuu, kama wewe ulivamia soko kwa pupa usifikiri kila mtu ni hivyoHakuna wajinga wnajiona wamepatia kama mnaochora haya mamistari kweny mt4&mt5 ...Nikuambie hapo unapoteza mda forex tumefanya sana bila kujifanya mtu wa viwanja na kuwa na pesa hupati wanafunzi wa kuwapiga pesa ng'o ,Utaendelea kuwa na ndoto za kushika pesa ndefu ukijdanganya kwamba unakuwa na trading plan & consistent .
Hata ufanyaje forex kwa sokoni ni more than gambling .
Utakuja na hoja za kitoto ntakupa code zote za forex ambazo hujawai kuambiwa na mentor wako anayekucoach.
Utanidanganya nn chalij tulia game tupo kitamboMkuu, kama wewe ulivamia soko kwa pupa usifikiri kila mtu ni hivyo
Binafsi niliachaga forex long time baada ya kugundua nahitaji at least 2000$ plus nidhamu ya hali ya juu Ili niwe comfortable katika trading. Hii ya kudanganyana eti 100$ unaweza ukatrade niliona ni upumbavu tu.Una scalp!
Maana lot ya 30 kisha unatoka na dola 180 si mchezo.
Ila forex bhana ukiwa na mtaji mkubwa utainjoi sana!
Kuna watu duniani huko yeye pips 10 anatoka na rundo la hela
Mimi bado nasema kutrade na mtaji wa dola zetu hizi 100 au 200 kufikia lengo inakuhitaji kuwa na displine kama ile ya kugongewa mke na kupotezea tu alafu maisha yanaendelea.
Mkuu nipe link ya hiyo app ni download
hio ni website sio app.Mkuu nipe link ya hiyo app ni download
Nenda yutubu sachi forex utapata uhondo woteMkuu nipe link ya hiyo app ni download