Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

Hakuna wajinga wnajiona wamepatia kama mnaochora haya mamistari kweny mt4&mt5 ...Nikuambie hapo unapoteza mda forex tumefanya sana bila kujifanya mtu wa viwanja na kuwa na pesa hupati wanafunzi wa kuwapiga pesa ng'o ,Utaendelea kuwa na ndoto za kushika pesa ndefu ukijdanganya kwamba unakuwa na trading plan & consistent .

Hata ufanyaje forex kwa sokoni ni more than gambling .

Utakuja na hoja za kitoto ntakupa code zote za forex ambazo hujawai kuambiwa na mentor wako anayekucoach.
 
1661012898694.png
 
Attachments

  • 1661012898694.png
    1661012898694.png
    22.5 KB · Views: 16
Hakuna wajinga wnajiona wamepatia kama mnaochora haya mamistari kweny mt4&mt5 ...Nikuambie hapo unapoteza mda forex tumefanya sana bila kujifanya mtu wa viwanja na kuwa na pesa hupati wanafunzi wa kuwapiga pesa ng'o ,Utaendelea kuwa na ndoto za kushika pesa ndefu ukijdanganya kwamba unakuwa na trading plan & consistent .

Hata ufanyaje forex kwa sokoni ni more than gambling .

Utakuja na hoja za kitoto ntakupa code zote za forex ambazo hujawai kuambiwa na mentor wako anayekucoach.
Fanya kile moyo wako unapenda. life is all about choices. mimi kunivamia kwa maneno hakutokusaidia chochote, focus na kile kinachoweza kukusaidia.
 
forex ukijifunza vizuri ukufahamu ina kwenda vipi ni kama unafanya biashara.alafu ni kitu kizuri kuwa na mtaji na malengo sio tamaa za kutaka kujitajilisha
IMG_9223.jpg
 
forex ukijifunza vizuri ukufahamu ina kwenda vipi ni kama unafanya biashara.alafu ni kitu kizuri kuwa na mtaji na malengo sio tamaa za kutaka kujitajilisha View attachment 2329597
Una scalp!

Maana lot ya 30 kisha unatoka na dola 180 si mchezo.

Ila forex bhana ukiwa na mtaji mkubwa utainjoi sana!

Kuna watu duniani huko yeye pips 10 anatoka na rundo la hela

Mimi bado nasema kutrade na mtaji wa dola zetu hizi 100 au 200 kufikia lengo inakuhitaji kuwa na displine kama ile ya kugongewa mke na kupotezea tu alafu maisha yanaendelea.
 
Hakuna wajinga wnajiona wamepatia kama mnaochora haya mamistari kweny mt4&mt5 ...Nikuambie hapo unapoteza mda forex tumefanya sana bila kujifanya mtu wa viwanja na kuwa na pesa hupati wanafunzi wa kuwapiga pesa ng'o ,Utaendelea kuwa na ndoto za kushika pesa ndefu ukijdanganya kwamba unakuwa na trading plan & consistent .

Hata ufanyaje forex kwa sokoni ni more than gambling .

Utakuja na hoja za kitoto ntakupa code zote za forex ambazo hujawai kuambiwa na mentor wako anayekucoach.
Mkuu, kama wewe ulivamia soko kwa pupa usifikiri kila mtu ni hivyo
 
Una scalp!

Maana lot ya 30 kisha unatoka na dola 180 si mchezo.

Ila forex bhana ukiwa na mtaji mkubwa utainjoi sana!

Kuna watu duniani huko yeye pips 10 anatoka na rundo la hela

Mimi bado nasema kutrade na mtaji wa dola zetu hizi 100 au 200 kufikia lengo inakuhitaji kuwa na displine kama ile ya kugongewa mke na kupotezea tu alafu maisha yanaendelea.
Binafsi niliachaga forex long time baada ya kugundua nahitaji at least 2000$ plus nidhamu ya hali ya juu Ili niwe comfortable katika trading. Hii ya kudanganyana eti 100$ unaweza ukatrade niliona ni upumbavu tu.
 
Back
Top Bottom