Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

Umemsahau Marcus Licinius Crassus. Alipenda kuanzisha vita ili ajilimbikizie mali kwa kuteka nyara za washindani wake.

Huyu mfalme wa Rome alikuwa na tamaa ya utajiri kiasi kwamba alipouawa vitani askari wake waliyeyusha dhahabu wakamwagia mdomoni mwake wakidai itasaidia kukata kiu yake ya utajiri hata kama amekufa

Mwanafalsafa wa Rome, Dante Alighieri - Wikipedia katika moja fasihi zake anamtaja Crassus kama kielelezo cha tamaa ya utajiri iliyopitiliza
Mwamba alikufa vitani
Siyo hawa wanaouawa wakiwa wamejificha
 
list yangu ya kizushi
jesus christ
muhammad
confucious
budha
Alexander the great
albert einstein
leonardo da vinci
napoleon Bonaparte
gengis khan
mahtma gadhi
isaac newton
martin luther jr
Williams Shakespeare
nelson mandela
julius ceasar
 
list yangu ya kizushi
jesus christ
muhammad
confucious
budha
Alexander the great
albert einstein
leonardo da vinci
napoleon Bonaparte
gengis khan
mahtma gadhi
isaac newton
martin luther jr
Williams Shakespeare
nelson mandela
julius ceasar
Hebu ongezea Bob Marley, Bruce Lee ,Franco luambo
 
Back
Top Bottom