Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

1. Umekwitwa huku mara 800+, umebanish kimya tu?!

Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

2. Kimya! Kama haupo vile. Kumbe upo unajipitia juu kwa juu kukimbilia kwenye viroja na vi mada uchwara?

3. Wacha kujisemea "hiiiiiii ..iii!" 🤣🤣

View attachment 2977387

4. Wanataka afungue chungu cha IEBC (server), siasa za ujanja ujanja Gaza, kama wewe na Azimio, hawataki kusikia!

View attachment 2977386

5. Nakwambia akinusurika Gaza hili (Gaza), mwanaume!

6. Kwamba amelikanyaga?

View attachment 2977385

7. Halimwachi salama!

"Wenye nguvu, wananchi!"

Kumbe aliua sana huyu
 
1. Kuliko hili linalotaka kufurushwa kutoka madarakani kama mbwa Koko (unceremoniously)? Tena, pamoja na kuwa na linaloaminika kuwa jeshi bora zaidi duniani!

Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

IMG_20240430_121002.jpg

2. Kama lilipo sasa hivi litakuwa linajisemea: 'hiiiiiiiiiiii ... iii!" Sembuse mimarekani koko:

MK254, Yoda, Moisemusajiografii , Mzee Kigogo, PakiJinja, denoo JG , Mpaji Mungu na miisiraeli uchwara ya kwetu Buza?

3. imhotep kuna lile jamaa Huku, limekimbia Uzi. Kenya liliandamana eti kifunguliwe chungu, hayataki longo longo. Marekani chongo linaita kengeza .. ?🤣🤣

4. Bujibuji Simba Nyamaume Kuna majamaa huku:

"Huyo komando kalala yalimchokozq yenyewe Sasa yaiona kondo, yafunga miiango... X2 🎶🎼🎵🦿

Huyo Eddy Sheggy yalimchokoza yenyewe, Sasa yaiona kondo, yafunga miiango... X2" 🎵🎼🎶🦿

IMG_20240430_121905.jpg

5. Kimenuka!

IMG_20240430_141218.jpg
 
1. Kuliko hili linalotaka kufurushwa kutoka madarakani kama mbwa Koko (unceremoniously)? Tena, pamoja na kuwa na linaloaminika kuwa jeshi bora zaidi duniani!

Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

View attachment 2977470

2. Kama lilipo sasa hivi litakuwa linajisemea: 'hiiiiiiiiiiii ... iii!" Sembuse mimarekani koko:

MK254, Yoda, Moisemusajiografii , Mzee Kigogo, PakiJinja, denoo JG , Mpaji Mungu na miisiraeli uchwara ya kwetu Buza?

3. imhotep kuna lile jamaa Huku, limekimbia Uzi. Kenya liliandamana eti kifunguliwe chungu, hayataki longo longo. Marekani chongo linaita kengeza .. ?🤣🤣

4. Bujibuji Simba Nyamaume Kuna majamaa huku:

"Huyo komando kalala yalimchokozq yenyewe Sasa yaiona kondo, yafunga miiango... X2 🎶🎼🎵🦿

Huyo Eddy Sheggy yalimchokoza yenyewe, Sasa yaiona kondo, yafunga miiango... X2" 🎵🎼🎶🦿

View attachment 2977465

5. Kimenuka!

View attachment 2977477
Huwa hueleweki unaandika nini.Ni kama unatafuna miwa barabarani.
 
Yeye china nzima iran korea kaskazin inapigana na ukraine
Unafananisha Muungano wa China,Iran na N.Korea!?
NATO ina mataifa mangapi!?
Zaidi ya 20+ nations hukutana kumpa silaha Ukraine.
Mbaya zaidi wanatuma hadi mercenaries na kupenyeza wanajeshi wao.
Russia ni Iran na N.Korea pekee ndio waliompa silaha.
Je hivyo vitu vina uwiano?
 
Hitler alikosea sana hapa. Hii vita angeimaliza mapema mno. Hitler alipoona kaivamia poland na ufaransa mwaka 39 na 40, alidhani itakuwa rahisi kuivamia uingereza, hapo ndipo ilipomgharimu maana uingereza ilikuwa ni visiwa hivyo lazima gharama za vita zingeongezeka. Alidhani angemalizana na western front halafu vikosi aviwaishe eastern front ku deal na mrusi , lakini it was too late. Udhaifu wa hitler ni kutosikiliza ushauri wa majenerali wake wa kivita kama kina von kleist jinsi mambo yalivyo ground. Laiti angekuwa mtu wa kusikiliza ,ulaya ingeenda kuwa chini ya himaya ya THIRD REICH.
"Braza" Hitler alifeli alipoanzisha front na wazee wa vodka wakati alikua bado na front za moto na watoto wa malkia ,
Hata mageneral wake walipomshauri akawa hasikii la muadhana mwisho wake
 
Kama Ukraine angesimama peke yake, kama ambavyo mrusi alianza kwa kusimama peke yake... Basi Ukraine hadi sasa ingekuwa ni koloni la Urusi
Hata Urusi kasimama na Iran, Korea kaskazini na China anayemsaidia kukwepa vikwazo.
 
Hitler alikosea sana hapa. Hii vita angeimaliza mapema mno. Hitler alipoona kaivamia poland na ufaransa mwaka 39 na 40, alidhani itakuwa rahisi kuivamia uingereza, hapo ndipo ilipomgharimu maana uingereza ilikuwa ni visiwa hivyo lazima gharama za vita zingeongezeka. Alidhani angemalizana na western front halafu vikosi aviwaishe eastern front ku deal na mrusi , lakini it was too late. Udhaifu wa hitler ni kutosikiliza ushauri wa majenerali wake wa kivita kama kina von kleist jinsi mambo yalivyo ground. Laiti angekuwa mtu wa kusikiliza ,ulaya ingeenda kuwa chini ya himaya ya THIRD REICH.
Kutangaza vita na Marekani lilikuwa kosa jingine kubwa.

T14 Armata
 
hapo ndipo alijichimbia kaburi. Huwezi ukapigana na 2 frontlines ukatoboa . Maana unakuwa umewekwa mtu kati. Mimi ningekuwepo kipindi hiko nikabahatika kumshauri, ningemshauri amalizane na urusi kwanza kabla ya kuanza kujibu west frontline.
 
Kama Ukraine angesimama peke yake, kama ambavyo mrusi alianza kwa kusimama peke yake... Basi Ukraine hadi sasa ingekuwa ni koloni la Urusi
Mbona alianza simama na mchina chchiniya iran na korea kaskazini ila mwaka wa tano sasa toka siku3
Unafananisha Muungano wa China,Iran na N.Korea!?
NATO ina mataifa mangapi!?
Zaidi ya 20+ nations hukutana kumpa silaha Ukraine.
Mbaya zaidi wanatuma hadi mercenaries na kupenyeza wanajeshi wao.
Russia ni Iran na N.Korea pekee ndio waliompa silaha.
Je hivyo vitu vina uwiano?
Hao ni wachache niliowataja ndugu
 
Adolf Hitler six million Jews down by gassings,shootings,beatings,hangings,starvings, and other atrocities
 
Hitler alikosea sana hapa. Hii vita angeimaliza mapema mno. Hitler alipoona kaivamia poland na ufaransa mwaka 39 na 40, alidhani itakuwa rahisi kuivamia uingereza, hapo ndipo ilipomgharimu maana uingereza ilikuwa ni visiwa hivyo lazima gharama za vita zingeongezeka. Alidhani angemalizana na western front halafu vikosi aviwaishe eastern front ku deal na mrusi , lakini it was too late. Udhaifu wa hitler ni kutosikiliza ushauri wa majenerali wake wa kivita kama kina von kleist jinsi mambo yalivyo ground. Laiti angekuwa mtu wa kusikiliza ,ulaya ingeenda kuwa chini ya himaya ya THIRD REICH.
Hitler hakuanzisha vita na Uingereza, Uingereza ndio ilifanya declaration of war dhidi ya Nazi Germany.

Baada ya Hitler kuivamia Poland ndipo Uingereza ilitangaza nao vita, ila haikuanzisha mapigano immediately. Wakati huo waliungana na Ufaransa ambayo ilikuwa inategemea ulinzi wa Maginot line kwenye Ardenes ila Wajerumani kwa Blitzkrieg wakapenya haraka bila matarajio.

Waingereza na Wafaransa wangepata nafuu kama Uholanzi na Ubelgiji zingewaruhusu waweke majeshi yao kwenye mipaka yake na Ujerumani kupambana nayo ikivamia. Wabelgiji na Waholanzi wakataka kukaa neutral ila Ujerumani sasa ikawavamia kweli.

Ujerumani ilivamia Uholanzi na Ubelgiji ili kuiwahi Uingereza isilete majeshi kwenye mainland ya Europe maana yenyewe ni visiwa. Hitler alikuwa anaiogopa Uingereza vizuri na aliijua ni ndogo ila ina muscles na uzoefu kwenye arena.
 
Back
Top Bottom