Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Mfalme Nebukachadhezer, nina hasira naye, siku nimkute atajuta1) Mfalme Nero
2) Mfalme Nebuchadnezzar
3) Alexander the Great
4) Adolf Hitler
Ezr 5 : 14 Na vyombo vya dhahabu na fedha, vya nyumba ya Mungu, alivyovitoa Nebukadreza katika hekalu lililokuwako Yerusalemu, ........
2 Wafalme 24 : 11 Na Nebukadreza, mfalme wa Babeli, akaufikilia huo mji, hapo watumishi wake walipokuwa wakiuhusuru.
13 Akatoa huko hazina zote za nyumba ya BWANA, na hazina za nyumba ya mfalme, akavikata-kata vyombo vyote vya dhahabu ambavyo Sulemani, mfalme wa Israeli, alivifanya katika hekalu la BWANA, kama BWANA alivyosema.