Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

Hiyo listi Ni batili kwasababu sijamwona Gengis Khan. Mwamba wanakuambia aliuwa asilimia 10 ya watu wote duniani kipindi yupo hai, mwamba alisababisha wachina kujenga great wall lakini mwamba akauzunguka ambako hawajajenga, huyu mwamba Ni number chafu, alichafanya falme za kiislam Ni jambo la kulaaniwa.
 
Ninatamani sana kuyajua maisha ya nguli wa sayansi Sir Isaac Newton maana sayansi yake imeleta mapinduzi makubwa katika dunia hii.

Ahsante!!
Nishawahi kumuelezea kwenye uzi wa introvert. Since he was one of them introvert
 
Usisahau NATO NZIMA INAPIGANA NA PUTIN na NATO inaelekea kushindwa.
Screenshot_20240403-213954.png
 
Nishawahi kumuelezea kwenye uzi wa introvert. Since he was one of them introvert
Nimeona lakini imeelezewa kwa ufupi sana maana ni katika mifano ya kuelezea na kuwataja baadhi ya introverts ambao wamefanya makubwa natamani kuwe na thread inayomwelezea yeye tu maisha yake ya utoto, mahusiano, kusoma kwake alivyoanza kuifanya sayansi na vionjo vingine vingi kuhusu maisha yake na namna alivyoweza kusolve maswali mbalimbali ya kada yake.
 
Will remedy your soul sir. Inaweza isiwe leo au kesho but nitafanya. Since napenda nikiandika kitu kiwe perfect 👌 and incredible. Vumilia nitafanya hivo
 
1) Mfalme Nero
2) Mfalme Nebuchadnezzar
3) Alexander the Great
4) Adolf Hitler
Nero alikuwa mhuni kuliko wote. Alichoma Rome akawasingizia Wakristu ili awaue....

Program ya kuburn cd ya Nero ilichukua jina hilo sababu ya moto aliouanzisha Rome

apps.52453.13864875239209001.0f3d79e7-eaab-45d0-818b-b351cd3f7c65.png

Logo ya programme ya Nero ina jengo la Colloseum la Rome likiungua moto kukumbushia kitendo cha mfalme Nero kuanzisha moto ulioichoma Rome

images (1).jpeg
 
Umemsahau Marcus Licinius Crassus. Alipenda kuanzisha vita ili ajilimbikizie mali kwa kuteka nyara za washindani wake.

Huyu mfalme wa Rome alikuwa na tamaa ya utajiri kiasi kwamba alipouawa vitani askari wake waliyeyusha dhahabu wakamwagia mdomoni mwake wakidai itasaidia kukata kiu yake ya utajiri hata kama amekufa

Mwanafalsafa wa Rome, Dante Alighieri - Wikipedia katika moja fasihi zake anamtaja Crassus kama kielelezo cha tamaa ya utajiri iliyopitiliza
 
Back
Top Bottom