Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

"Braza" Hitler alifeli alipoanzisha front na wazee wa vodka wakati alikua bado na front za moto na watoto wa malkia ,
Hata mageneral wake walipomshauri akawa hasikii la muadhana mwisho wake
Hitler alianzisha Eastern front baada ya kuona Soviet Union inateseka dhidi ya Finland kanchi kadogo, akaona ni wanyonge. NB: Hitler alitaka kupata resources za mafuta Siberia na kupata iron ore. Ndicho kilimpeleka Scandinavian countries pia. Alikuwa na malengo mengi kwa pamoja.

Hata Poland yenyewe Warusi walitegeshea Ujerumani imevamia ndio nao wakavamia upande wao mpakani. Kipindi kile USSR wametoka kwenye Great Purge majenerali wazoefu na competent wameuwawa na Stalin kwa upuuzi wake.

Kidogo nchi imponyoke isingekuwa upande mwingine wa allies kum-drain resources Hitler. Na Marekani aliwekeza sana Lend lease kwa USSR, hawakuwa na trucks za kutosha massive lands na ndege za kutosha Eastern front nzima, na war materiel nyinginezo.

Ujerumani ilikuwa na majenerali superby tena wengi sio wa kubahatisha.
 
Hitler hakuanzisha vita na Uingereza, Uingereza ndio ilifanya declaration of war dhidi ya Nazi Germany.

Baada ya Hitler kuivamia Poland ndipo Uingereza ilitangaza nao vita, ila haikuanzisha mapigano immediately. Wakati huo waliungana na Ufaransa ambayo ilikuwa inategemea ulinzi wa Maginot line kwenye Ardenes ila Wajerumani kwa Blitzkrieg wakapenya haraka bila matarajio.

Waingereza na Wafaransa wangepata nafuu kama Uholanzi na Ubelgiji zingewaruhusu waweke majeshi yao kwenye mipaka yake na Ujerumani kupambana nayo ikivamia. Wabelgiji na Waholanzi wakataka kukaa neutral ila Ujerumani sasa ikawavamia kweli.

Ujerumani ilivamia Uholanzi na Ubelgiji ili kuiwahi Uingereza isilete majeshi kwenye mainland ya Europe maana yenyewe ni visiwa. Hitler alikuwa anaiogopa Uingereza vizuri na aliijua ni ndogo ila ina muscles na uzoefu kwenye arena.

Upo sahihi hitler hakuwa na bifu na ardhi ya malkia ila ilibidi uingereza itangaze vita na mjerumani baada ya mfaransa kupigika. Hivyo mjerumani akaona acha aingie vitani na mwingereza. Lakini nataka kutofautiana na wewe kidogo. Hitler alipenya hiyo misitu ya ardenes zilipokuwa ngome maginot kwa jeshi la ardhini kuingia ufaransa kupitia ubelgiji. Kampeni ya blitzkrieg ilitumika sanasana maeneo ya kaskazini magharibi mwa pwani ya ufaransa hususani kwenye mji wa dunkirk akivipiga vikosi vya ufaransa na vile vya british expeditiary vilivyokuwa vinakimbia kuelekea uingereza . kutumia bahari. Sanasana mashambulizi ya blitzkrieg ya mjerumani yalikuwa specifically dhidi ya uingereza na sio hao kina mfaransa , belgium et.Al. Hii ni kwa mujibu wa kitb cha Ben walsh cha world modern history 2nd edition. Labda kama kuna vitabu au makala zingine zinapingana kuhusu historia ya vita hivi vya ulaya.
 
Mbona alianza simama na mchina chchiniya iran na korea kaskazini ila mwaka wa tano sasa toka siku3

Hao ni wachache niliowataja ndugu
Chechnya kumefanyaje?
Mbona haukutoa maelezo yanayoeleweka!?

Usitudanganye mzee,Russia mataifa yanayomsaidia kisilaha ni mawili tu tena kwa kumuuzia sio kwa kumpa bure,ni IRAN na NORTH KOREA basi.
Hakuna taifa lingine.
Kama lipo lete ushahidi.
Iran amemuuzia Russia kamikaze drone za Shaheed na makombora ya Zelzalah na ripoti ilitoka.
Belarus alikua katika mpango wa kusaidia kijeshi ila huo mpango ulisitishwa.
 
1. Kuliko hili linalotaka kufurushwa kutoka madarakani kama mbwa Koko (unceremoniously)? Tena, pamoja na kuwa na linaloaminika kuwa jeshi bora zaidi duniani!

Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

View attachment 2977470

2. Kama lilipo sasa hivi litakuwa linajisemea: 'hiiiiiiiiiiii ... iii!" Sembuse mimarekani koko:

MK254, Yoda, Moisemusajiografii , Mzee Kigogo, PakiJinja, denoo JG , Mpaji Mungu na miisiraeli uchwara ya kwetu Buza?

3. imhotep kuna lile jamaa Huku, limekimbia Uzi. Kenya liliandamana eti kifunguliwe chungu, hayataki longo longo. Marekani chongo linaita kengeza .. ?🤣🤣

4. Bujibuji Simba Nyamaume Kuna majamaa huku:

"Huyo komando kalala yalimchokozq yenyewe Sasa yaiona kondo, yafunga miiango... X2 🎶🎼🎵🦿

Huyo Eddy Sheggy yalimchokoza yenyewe, Sasa yaiona kondo, yafunga miiango... X2" 🎵🎼🎶🦿

View attachment 2977465

5. Kimenuka!

View attachment 2977477

Julize mtu anagegeda katoto ka miaka 9 shukrani, ananyona wanaume midomo kisha anaua maelfu ya watu halafu unamuabudu
Uzuri zote zipo kwenye maandiko yenu, sijamsingizia mimi
 
Na huo ndio ilikua mpango wake lakini pia akapata sababu ya kuzidi kuwakandamiza adui zake wa kikristo. So aliua ndege wawili kwa jiwe moja. Ni kama vile CCM wanavyochoma masoko yetu
Kweli duniani hakuna kitu kipya. Kwa hiyo ccm wanatumia mbinu zile zile za kale kufanikisha malengo yao🤣🤣
 
Son of Muta Mudy alizaliwa four Years baada ya baba yake kufa Abdullah
 
hiyo stori unaijuwa ww tu hata Urusi haijui
Hiyo stori ni wewe tu ndio huijui.
Ila ulimwengu mzima unajua kuwa NATO anatoa millitary,politically and financial support kwa Ukraine.
 
Back
Top Bottom