T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hitler alianzisha Eastern front baada ya kuona Soviet Union inateseka dhidi ya Finland kanchi kadogo, akaona ni wanyonge. NB: Hitler alitaka kupata resources za mafuta Siberia na kupata iron ore. Ndicho kilimpeleka Scandinavian countries pia. Alikuwa na malengo mengi kwa pamoja."Braza" Hitler alifeli alipoanzisha front na wazee wa vodka wakati alikua bado na front za moto na watoto wa malkia ,
Hata mageneral wake walipomshauri akawa hasikii la muadhana mwisho wake
Hata Poland yenyewe Warusi walitegeshea Ujerumani imevamia ndio nao wakavamia upande wao mpakani. Kipindi kile USSR wametoka kwenye Great Purge majenerali wazoefu na competent wameuwawa na Stalin kwa upuuzi wake.
Kidogo nchi imponyoke isingekuwa upande mwingine wa allies kum-drain resources Hitler. Na Marekani aliwekeza sana Lend lease kwa USSR, hawakuwa na trucks za kutosha massive lands na ndege za kutosha Eastern front nzima, na war materiel nyinginezo.
Ujerumani ilikuwa na majenerali superby tena wengi sio wa kubahatisha.