Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
We ni mwanasiasa uko mtupu sanaaa haufai kuongea kabisa mbele za watu, ulipo hapo unajua kutengeneza tu mzigo chooniUko kitumwa wa historia enzi hizo hakukuwa na vyombo vya kusimamia ubora ndio maana hao wagunduzi ndege wakijaribu iliwaua
Sasa hivi huwezibuni ndege Yako huna Elimu ya Engineering na kusomea upilot ukairusha hakuna kitu kama hicho usikariri historia.
Sasa hivi ukitengeneza ndege au helikopta na hujasoma lazima waje mainjinia waliosoma kuhakiki ubora popote duniani
Ulishawahi kujiuliza kwanini wameweka huo udhibiti ubora?
Hivi wewe unafikiri mtu anayeanza kutengeneza atatengeneza kwa asilimia 100? Trial and fail lazima ziwe nyingi ujinga waliosoma art ndio wanaongoza nchi ukibuni kitu utasikia hakifanyi kazi kama cha mzungu