Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

Nikipewa Biblia siwezi kukata!
 
Mi mbususu siwezi kuikataa.
 
Kondisheni ya huyu ni moja,hakuna kupumzuka yaani ukipiga cha kwanza unaunganisha vitatu hapo hapo,am afraid hii inaweza kuwa beyond your current capacity πŸ˜‚
Kwa bahati mimi huwa naunganisha hadi mabao sita pasipokwenda mapumziko.

I always score almost six goals consistently with no time for water break.

Nimetafsiri kwa kiingereza fyongo Ili kama yeye siyo mtanzania aweze kunielewa japo kidogo na ajiandae kwa kwa shughuli pevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…