Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

Hapana Victoire kwanza sioni uzuri wowote pili ni lazima kuheshimu nidhamu ya kazi na hivyo kutofanya lolote lile ambalo ni kinyume na taratibu za kazi na zinaweza kabisa kukufukuzisha kazi na hata kufunguliwa mashtaka kortini.
Naskia kuna bagosha amefika mwisho hapo, hata akaona aseme tu hadharani kwamba "hana raha na mke wake"...😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom