Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

Hapana Victoire kwanza sioni uzuri wowote pili ni lazima kuheshimu nidhamu ya kazi na hivyo kutofanya lolote lile ambalo ni kinyume na taratibu za kazi na zinaweza kabisa kukufukuzisha kazi na hata kufunguliwa mashtaka kortini.
Waziri wa ujenzi wa Mkapa hakufukuzwa kazi. Na nyumba ya serikali alihonga.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ila fail lake ungebeba mguu kwa mguu ili apewe nyumba ya serikali ?Ili hali akiwa mwanafunzi ?
Una mpa tu nyumba Kuna wanaume wanajua kuhonga Hadi Raha sio wachoyo, hao ndo wanaume aisee wanaojielewa
 
Una mpa tu nyumba Kuna wanaume wanajua kuhonga Hadi Raha sio wachoyo, hao ndo wanaume aisee wanaojielewa
Waziri wa ujenzi wa Mkapa kweli anajua kuhonga mpaka raha.
 
Mbona unatuonyesha nusu? To a na chini tumuone ili tutoe maksi mana yawezekana ungetoa nyumba kwa ulimbukeni na ushamba wako!!
 
Back
Top Bottom