Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa ujenzi wa Mkapa hakufukuzwa kazi. Na nyumba ya serikali alihonga.
Sasa mbona Mbowe ana boronga pale chadema sababu ya mapenzi na uko kimya?Hapana Victoire kwanza sioni uzuri wowote pili ni lazima kuheshimu nidhamu ya kazi na hivyo kutofanya lolote lile ambalo ni kinyume na taratibu za kazi na zinaweza kabisa kukufukuzisha kazi na hata kufunguliwa mashtaka kortini.
Naskia kuna bagosha amefika mwisho hapo, hata akaona aseme tu hadharani kwamba "hana raha na mke wake"...😂😂😂😂
Ana machuchu ya ukweli hakiyanani aseeee unamtawanyia ulimi mmoja ulolowana mateHizi utaziitaje kwa lugha ya kwenuView attachment 1647488View attachment 1647489
Mbona wanajulikana sema ndo hao leo wana madaraka.Naelewa hilo ni uthibitisho wa kuanguka maadili ya kazi. Na Mkapa alihusika sana na hilo kwani alifanya biashara na mkewe hadi ndani ya Ikulu. Kuna nyumba ya Serikali pale karibu na Aga Khan hospital ni nzuri sana na Mkapa alikuwa akiimezea mate na hivyo kuja na uhuni wake ulioshirikisha baraza la Mawaziri lakini wengi waliopata nyumba zile kifisadi na kuliingizia Taifa hasara ya zaidi ya trilloni 4 hadi leo hawajulikani.
Ila Mukulu anajua kuchagua vyeupe.
Unatafutwa na DPP....😂😂😂Mzinzi huyo akiona mwanamke mweupe tu basi kichwa cha chini KINAHEHUKA hahahahahahaha
Unatafutwa na DPP....😂😂😂
Lakini nikweli mkuu, hata mimi sina raha na mke wangu. Hivyo ndivyo nilivyo agizwa na kiongozi...😂😂😂😂Kosa langu ni lipi Mkuu? Mbona sijaweka jina la mtu? Na Watanzania wengi wana sifa ya UZINZI hahahahahaha